Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

Mchungaji Gwajima anampa nafasi Upendo Mkone aimbe nyimbo.....!!!!!!
 
hawezi kuwepo yule jamaa sema atakuwa anajipanga si unajua vita yake ni magazeti ya udaku ndio uwanja wake ule

mbasha anapanga mkakati wa kumpiga kabali gwajima.ila kwa sasa itakuwa ngumu cos jamaa atakuwa anashinda hewani kama popo vile.si unajua tena kashusha chopper. lol
 
gwajima hana lolote la uadilifu. kanisa lake kama kakobe ni kampuni ya kujipatia kipato kwa udanganyifu. baada ya kuwazuga wafuasi wao na kupata utajiri mkubwa uroho umewazidia. wanaona kwenye siasa kuna pesa zaidi.

kwa sasa dini ni biashara mkuu na wewe anzisha lako.
 

duh huko tunakoelekea, Mungu tunusuru, naona unatupa updates tokea kanisani, that means kanisani kwenu mmepageuza sehemu ya biashara maana maadili yamepotea kiasi kwamba mnaweza post mkiwa ibadani, sawa ndugu tumewasikia kua kanisa lenu Ni maarufu, na muingie Facebook na twiter PIA kujitangaza, ILA kumbukeni Kuna adhabu ya kumtania Mungu na itawakuta mkiendelea kufanya upuuzi ibadani
 
mbasha anapanga mkakati wa kumpiga kabali gwajima.ila kwa sasa itakuwa ngumu cos jamaa atakuwa anashinda hewani kama popo vile.si unajua tena kashusha chopper. lol

dah! watu kwa majungu! nimekuvulia kofia mdg wangu.:what:
 
MaCCM wakiishiwa hoja wanaanza viroja .......Go Halima Mdee ....piga mzigo hakuna kulala .....
 
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."

Vipi Mnyika?!

Kaka husomi ila unakurupuka .Mbunge wa kwanza mwanamke kasema rudia kusoma acha ukasuku .
 
haya na MNYIKA aende kwa MZEE WA UPAKO.,,
KAZI TUNAYO WATANZANIA.
 
Mwana f.a gwajima,Diamond,Alikiba,ney wamitego...
 
Ukweli mtupu;

Ukiangalia hili kwa makini utagundua Tanganyika imejivisha Na kujificha kwenye koti la muungano Na hivyo kuitawala zanzibar kiujanja ujanja

Tayari sasa CCM bye bye.
 
Kwa Mchungaji Gwajima leo ni full shangwe
 

Attachments

  • 1407062554559.jpg
    85.2 KB · Views: 277
  • 1407062632757.jpg
    64.9 KB · Views: 263
  • 1407062662212.jpg
    112.8 KB · Views: 329
  • 1407062735292.jpg
    55.6 KB · Views: 263
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…