Wewe dada nilikupenda sana kwa kasi yako ya kufanya kazi ulipo kwenda bungeni tu naona umebadilika sana kuna bomba la maji uloweka wewe mpaka leo bado halina maji sasa sijui kulikoni huu ni mwaka wa 5 unawambia nini wananchi wako

Huko Mzimuni ni wapi?
Hapa sehemu hizo za Mbezi hakuna barabara, si za halmashauri wala tanroads.
Wananchi wanachanga mpaka wamechoka.
Acha unafiki wewe mrembo cute_39! Idara ya maji huijui ilipo?
Hongera Serikali kwa kupeleka mradi.
Na barabara mbovu.Wanachangishwa na nani?