Aongeze nyama Kwenye mifupa aliyotupatia mtoa mada, Kama vile majina ya wafadhili, KIASI Cha Fedha kilichotokewa kwa ajili ya Mradi na idadi ya watu watakaonufaika na Mradi huo na unaanza lini na kukamilika lini.Mbunge wa Kawe-CHADEMA Halima Mdee amepongezwa na wananchi wa eneo la Mji Mpya Mzimuni kwa jitihada zake kubwa zilizopelekea kupatikana mradi wa maji eneo hilo.
Wakihojiwa na Clouds TV wananchi kadhaa wa eneo hilo wamesema kwamba wamekuwa wakipata shida ya maji kwa miaka mingi na maji waliyokuwa wanatumia ni ya chumvi tu.Wamesema hiyo ni kero ya miaka mingi ambayo wabunge wote waliopita walishindwa kutatua.
Hata hivyo wananchi hao wa vyama tofauti tofauti vya kisiasa wamesema alipokuja Halima Mdee na kusikiliza matatizo ya wananchi hao kwa muda mfupi ametafuta ufadhili ambao kwa kushirikiana na Manispaa eneo hilo limepatiwa mradi wa maji safi.
Wananchi hao wamewataka wabunge wengine kuiga mfano huo huku wakimwagia sifa kemkem mbunge huyo wa Kawe.
Source:Clouds TV Habari.
Huko Mzimuni ni wapi?
Hapa sehemu hizo za Mbezi hakuna barabara, si za halmashauri wala tanroads.
Wananchi wanachanga mpaka wamechoka.
Hapo Slaa anapondwa.Clouds wemesifia wabunge chadema ujue hiyo ni kweli na haina chenga.!
wewe molemo si ndio mnashirikiana na slaa na mchumba wake slaa kuhakikisha mnaondoa uongozi wa kawe hasa ule unaomuunga kamanda mdee pamoja nakumchafua mitandaoni kwamba hafanyi kazi yoyote mmeona kawapiga chenga ya mwili ndo mnaanza kujifanya mnamsifia.
huo ni unafiki mkubwa sana .
mnadhani hamfahamiki?
iweje mjifiche kwenye shamba la maharage nakudhani hamuonekani?
hata kamanda wetu wa kawe mdee anaujua unafiki wako .
pole sanaaa.
Aongeze nyama Kwenye mifupa aliyotupatia mtoa mada, Kama vile majina ya wafadhili, KIASI Cha Fedha kilichotokewa kwa ajili ya Mradi na idadi ya watu watakaonufaika na Mradi huo na unaanza lini na kukamilika lini.
Hivi ni kweli slaaa hampendi mdee, mbona kazi hapo CDM
hahahaaaa mtahangaika sana kawe lakini iron lady mdee atawatoa udenda mwisho wa siku.
ya vunjo yamekushinda ya kawe utayaweza weye?
slaa naye ya karatu yamemshinda saahizi hawataki hata kumsikia kama unabisha muulize mzee maasai mwenyekiti wa halmashauri ya karatu nini kilitokea baada ya maasai kumpa slaa kiwanja japo ajenge nyumba yakujisitiri yeye akalazimisha hati ya kiwanja iandikwe jina la mshumbusi.
hahahaaaa nimeamini ule mpango wenu wakumpindua na mbowe kugombea urais unaenda kwa kasi.
but jisogezeni sogezeni maana moto wa lekadutigiteeeeee hamtauweza .
si kweli kuhusu molemo na dr slaa labda yule waitara wa trm ndio namsikia sikia akimpondea saana halima na hata kumuita majina ya ajabumaadui wa kamanda mdee ndani ya chadema
slaa
mshumbusi
janeth rite
molemo.
si kweli kuhusu molemo na dr slaa labda yule waitara wa trm ndio namsikia sikia akimpondea saana halima na hata kumuita majina ya ajabu
kaka huyu waitara nilikuwa namsikiaga tu mimi nimebahatika kukaa naye kanipa lift na gari aina ya ford kutoka vingunguti kuja hapa kinondoni maneno yake dhidi ya halima yalikuwa machafu saana na ikafika sehemu nikamuasa sana awe anakuwa na mipaka sana ingawa hata huyo ester naye alimtaja taja lakini hapa kuhusu mdee anaongea sana wallah huyu alikuwa threat piamkuu habari ndo hiyo sisi ndio wanakawe tunajua michezo yote ya slaa na genge lake.
huyo waitara unayemsema yeye ni bendera fata upepo tu si kwamba ana bifu na halima.
labda umechanganya waitara ana bifu na ester matiko mbunge wa viti maalumu tarime kutokana na kwamba kapata viti maalumu kwa mgongo wa kura za waitara lakini sasa hivi kamgeuka ameungana na heche ambaye ni hasimu mkubwa wa waitara tarime maana wanagombania lile jimbo.
hao ndo core characters wenye bifu na mdee!