Halima Mdee aachiwa huru

Umeshindwa kua mstaarabu kusikiliza kwanini wawe wastaarabu kukuzuia? Hakuna nchi yeyote dunia inayovumilia ujinga tunaona sana kwenye vyombo vya habari virungu vikitembezwa
 
Kuna haja ya kuchukua HATUA tena za ziada sn.
Ni ukiukwaji wa haki za binadamu uliopitiliza.Kama mnataka kumkamata mtu mkamateni kwa kumwambia na si kumpiga kama vile.
Mashirika ya kutetea haki za binadamu Duniani yako wapi? au yanafanya kazi ulaya tu?
Mungu kaa nasi wanao.
 

Inawezekana ikawa kweli ila kwanini kwenye maandamano hasa ya upinzani jamaa wanakuwa makini kuyazuia lakini kama wakipewa taarifa za ujambazi sehemu hata kama walikuwa jirani huwa hawajitokezi kwa haraka. Ingekuwa na kwa upande wa pili wa kuzuia ujambazi wanatokea kwa kasi sidhani kama watu wangehoji kwa sana. Wenyewe kwenye maandamano na kukamata bidhaa ambazo hazina risiti utawapenda lakini waambie majambazi wakija una bahati
 
Acha yamfike angalikaa kwake yasingemkuta huwezi kufanya kosa ukasingizia jinsia na kusubiri huruma za watu
 
Tatizo la aanania ni kwa jinsi walivyo n akii mbovu sana wapumavu na wajinga how on earth mtu anaita serikali ambaye amewekwa na wananchi atakataa kabisa kusikilza wananchi walimuweka na hapo hapo unauta kuna miskule waakubaliana na wapuuzi walioko serikalini majambazi wezi maharamia
 
Sasa polis mpaka wampige kwa lipi? Polis wa tanzania ndo chanzo kikubwa cha vurugu.
 
kuandamana sio lazima watu wawe wengi,wakiwa wachache ndo vizur kuwasikiliza mahtj yao.
 

Ukisha kua polisi tu akili zina nakua likizo ya kudumu.
 

Hakuna polisi mwenye akili timamu Tanzania....ndio maana chrisslukosi alikimbia hii kazi ya upolisi.
 
Last edited by a moderator:
Umeshindwa kua mstaarabu kusikiliza kwanini wawe wastaarabu kukuzuia? Hakuna nchi yeyote dunia inayovumilia ujinga tunaona sana kwenye vyombo vya habari virungu vikitembezwa

Sijui kama ni ushamba au vipi, lakini nakwambia kwamba Maandano yamekuwepo tangu enzi na enzi na uwezi kuyazuia maana hakuna mwenye hati miliki ya dunia. Ukiona watu hawatofautiani na Serikali yao ujue hilo taifa ni mfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…