Hali za watumishi: Wanasheria msaada toeni tafsiri ya sheria na haki za wafanyakazi duniani.

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Wana jamvi habari zenu.

Kutokana na vitendo ama amri zinazoashiria kuleta unyanyasaji kwa watumishi wa umma vinavyofanywa na muajiri, mfano kuzuia haki ya kupata na kupokea habari kwa njia ya
mawasiliano ya simu maeneo ya kazi, utitiri wa kodi/ makato mfano NHIF bila kutoa huduma nzuri, makato ya vyama vya wafanyakazi huku hakuna wanachofanya, zuio la fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii, makato ya fao la fidia ya kuumia, ajali na kufa kazini (WCF), kutopandishwa madaraja na ajira kusimama au haijulikani hatima ya ajira hivi ni hayo yote yapo katika sheria na haki za mtumishi hivi hayo yapo katika shirika la kazi duniani?.
 
Watanzania tumekuwa waoga sana, wacha serikali itunyooshe tu.

Ingekuwa kwa majirani zetu Kenya tu basi nchi ingetetemeka.
No increments for 6 months, no promotions for almost 8 months halafu tunachekacheka tu.

Huu ni zaidi ya umburula
 
Back
Top Bottom