Power within is very destructive. Wahenga walinena kikulacho ki nguoni...?! Ni bora mkapigana vita na mataifa ya nje mshindwe na kusalimu amri kuliko vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo kila mmoja wenu anamjua mwnzake vyema hadi mahali anakoanikia nguo za ndani.Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..
Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?
Naona yaliyotokea Libya ...
Israel iwasaidie basi ndugu zao..
Hili swali niliuliza kwenye jukwaa la Kenya news and politics,sikupata jibu, yaani mm nashangaa, Ethiopia kupigwa Kama watto na kakikundi ka TPLF Wana ndege,drones,vifaru etc,kitu amabcho siamini Kama waasi wanavyo vyote hivyo.Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..
Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?
Naona yaliyotokea Libya ...
Israel iwasaidie basi ndugu zao..
Inashangaza sanaHili swali niliuliza kwenye jukwaa la Kenya news and politics,sikupata jibu, yaani mm nashangaa, Ethiopia kupigwa Kama watto na kakikundi ka TPLF Wana ndege,drones,vifaru etc,kitu amabcho siamini Kama waasi wanavyo vyote hivyo.
Hata kama kuna mkono wa US, wasitafute mchawi nani.., nchi kama Ethiopia yenye nguvu za kijeshi kama tulivyoaminishwa sio ya kuanza kusema eti kuna mkono wa US.Kuna mkono wa us,abiy kailaumu us
Dah,uko mbali kinoma na uhalisiaHata kama kuna mkono wa US, wasitafute mchawi nani.., nchi kama Ethiopia yenye nguvu za kijeshi kama tulivyoaminishwa sio ya kuanza kusema eti kuna mkono wa US.
US alipigwa Somalia akakimbia, alileta askari , silaha, ndege vita n.k... Ethiopia Leo hii ipigwe eti kisa tu US kaingiza vi silaha?
Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..
Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?
Naona yaliyotokea Libya ...
Israel iwasaidie basi ndugu zao..
Hivi ndugu yangu unajua historia ya Ethiopia? Naona kumekua na generalization kuwa masaibu yanazozikumbuka nchi za Kiafrika ni Marekani, Mabeberu nk. Lakini kuna sababu nyingi ndani za nchi za Kiafrika zimejengwa na sisi wenyewe tu. kumbuka ni kama miaka 60 tu iliyopita toka nchi nyingi za Kiafrika zijuipatie Uhuru wake toka kwa wakoloni, na Ethiopia ina historia ya kutotatawaliwa na wakoloni!HYO YOTE SAWA ILA MIMI NAJIULIZAGA SANA MAREKANI ANA JAMBO GANI NA NCHI ZENYE MAPIGANO? KWANI HPO ETHIOPIA IPO BALOZI YA MAREKANI PEKEE?
Civil war ni kitu kingine mkuu we kisikie tu kwa watu.Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..
Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?
Naona yaliyotokea Libya ...
Israel iwasaidie basi ndugu zao..
US ni Global policeman.Alishajipa hicho cheo na dunia nzima ikakubali.Super power.Imeisha hioHYO YOTE SAWA ILA MIMI NAJIULIZAGA SANA MAREKANI ANA JAMBO GANI NA NCHI ZENYE MAPIGANO? KWANI HPO ETHIOPIA IPO BALOZI YA MAREKANI PEKEE?
Hamuwezi kuzungumza wkt mmoja wenu anajiona ana power kuliko mwenzake.Ili mzungumze angalau nguvu ziwe zinakaribia kulingana.Leo hii wamefika mji wa Afdea ulioko kilometa 98 kutoka Addis Ababa. Abiy Ahmed atumie busara kuzungumza na hao jamaa. Leo,Makundi 5 Kati ya 9 yaliyoahidi kujiunga na Tigray kuiondoa Serikali Madarakani yametuma Wapiganaji elfu 50 kuungana na vikosi vya Tigray. Hii Vita Serikali Kuu haiwezi kushinda.
Zile ranks hua Ni za kikuda tu.Niliona ranks za kijeshi Africa eti DRC Yuko juu ya Tz kijeshi.Nikasema huu Ni ufala jazz band.Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..
Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?
Naona yaliyotokea Libya ...
Israel iwasaidie basi ndugu zao..
Akili za jiwe na mange sometimes zilikua zinalingana lingana hivi kimtimdo πππNgoja wapigane tuje wauzia mchele na mahindi. Au nasema uwongo ndugu zangu
Duh kwny hio picha ya 2 pili hapo naona Kuna mdau anataka kwenda kula tunda kimasihara hapo.Watigray wamechukua pia mateka wa kutosha.
Ni vyema Abiy akubali mazungumzo tu amalize huu mzozo.
View attachment 2002547
View attachment 2002552
View attachment 2002553
Kwa kifupi zaidi ipo hivi, hao unaowaita kakikundi ndio walitawala Ethiopia kwa miongo mitatu iliyopita kabla ya kumuachia Abiy madaraka na baada ya hapo Abiy akauvunja muungano uliomuweka madarakani wa TPLF na kuunda wake mpya unaitwa PP.Hili swali niliuliza kwenye jukwaa la Kenya news and politics,sikupata jibu, yaani mm nashangaa, Ethiopia kupigwa Kama watto na kakikundi ka TPLF Wana ndege,drones,vifaru etc,kitu amabcho siamini Kama waasi wanavyo vyote hivyo.
Akili za jiwe na mange sometimes zilikua zinalingana lingana hivi kimtimdo