Hali yachafuka singida mjini.

hii minjemba tatizo lao ni kukosa akili tu, me nadhani ni muda muafaka wetu tunaoitwa makafir kunyanyuka na kuwaonesha hao wapagani kuwa hawana dini na kuwa hakuna dini nje ya utatu mtakatifu!
 
hii minjemba tatizo lao ni kukosa akili tu, me nadhani ni muda muafaka wetu tunaoitwa makafir kunyanyuka na kuwaonesha hao wapagani kuwa hawana dini na kuwa hakuna dini nje ya utatu mtakatifu!

patakuwa patamu hapo, nadhani baada ya hapo tutaheshimiana maaana sasa hivi heshima hakuna kila mtu ana ndevu kama kambare.
 
Magaidi wote ni waaisilamu japo sijapata ushahidi wa kufungamanisha uislam na ugaidi. Mara zote ninapowakuta waislama katika mkutano wa hadhara ama wawe wanaipinga biblia kwa kubishana na wakristo au wanapepeta siasa kwa kukodiwa na chama fulani cha kisiasa. Hivi kitabu chao hakihubiriki kwa upendo kuwavuta waamini wapya kama wanavyofanya dini nyingine?
Kitendo cha cha kuruhusu kundi la dini fulani kuhubiri siasa cha chuki dhidi ya watu wengene matika jamii ile ile kwa tofauti za dini zao ni dalili wazi za kukosa uhalali wa serikali husika kuongoza nchi.
Kama hayo ya singida ni kweli, basi mkuu wa dola hana budi kujiuzulu mara moja, kabla hajapelekea taifa kuparaganyika.
.
 
Kuna kazi kubwa 2015.
 
well said,
UISLAM UPO VERY CLEAR KWENYE TEACHINGS ZAKE NA KUSICHANGANYWE BAINA YA MUISLAM KASEMA vs UISLAM UNASEMA.

Hii huwa ndiyo defence ya kutetea uchafu unaofanywa kwa jina la dini!
 
hii minjemba tatizo lao ni kukosa akili tu, me nadhani ni muda muafaka wetu tunaoitwa makafir kunyanyuka na kuwaonesha hao wapagani kuwa hawana dini na kuwa hakuna dini nje ya utatu mtakatifu!
Tunapenda amani!Ila wakitaka kuzileta nadhani litakuwa jambo la mbolea wakipata kipondo kilichoenda shule!
 

Well said bro.
Rais anapokua Mkristo CUF inapata sapoti kubwa sana kutoka kwa mashekhe na maimamu. Rais anapokua Muislam mashekhe wanakimbilia CCM: ndio hali ilivo sasa.
 
2015 CCM watamweka kafri kugombea urais, mashehe mtahamia chama gani? Tatizo la mashehe ni elimu 0 ndo maana wanagezwa kama majuha
 

...na ELIMU.

 
Hivi kafiri ni nani? ana sifa gani? maana kama kafri ni mkristu kwa nini tusimwite mkristu ila tunambatiza jina lingine. Nielewesheni maana zaidi ya jina au neno kafir
 
Naungana na wanafalisafa wanaoamini kufananisha dini na ulevi!
Hivi usafi na ujasiri wa mwislamu kuita watanzania makafiri wanautoa wapi?
Mi naomba niseme kwamba wametumwa na Ccm kupitia ndoa ya Cuf na Ccm huko Znr!
Waislam kama mumeamua kukumbatia mwozo wa Ccm kuhusisha udini basi nyie ni zaidi ya makafiri wenye madhaifu na mapungufu makubwa yanayoweza kuhatarisha amani ya Watanzania!
Kuran tukufu inasema Kemea uovu kwa nguvu zote! Nando wafanyacho CDM! Mnataka haki sawa nyie mmekuwa wanawake? Fanyeni kazi tuwakubali!
Mungu tuepushe na hii balaa!
 


Huku ni kutapa tapa na kama serikali iko fair katika statement zake basi huku ndiko kunakoitwa kuchochea vurugu na siyo maandamano ya CHADEMA.
Ukweli unaozungumzia sijauona hapa acha na wewe ushabiki na fungua akili yako na get out of the box of religious fanaticism
 
mnnnh wametoke wapy tena hawa watu.....................ndo udini wenyewe wanaokemea au wantaka kutangaza machafuko?
 

Wakumbuke List of Shame.................Mkapa na wakristo wengine walikuwepo.

Kweli elimu duni inaua.
 
mpende adui yako kama unayo jipenda,mpende jirani yako kama unavyo jipeda hii ndio siri ya amani baina ya wakristo plz wairslam naomba muiige.
 
hii minjemba tatizo lao ni kukosa akili tu, me nadhani ni muda muafaka wetu tunaoitwa makafir kunyanyuka na kuwaonesha hao wapagani kuwa hawana dini na kuwa hakuna dini nje ya utatu mtakatifu!

WAKIRISTO HAMNA HISTORIA HIYO, HAMUWEZI KITU. Kumbuka waislam ndo walimtoa mkoloni aliyekuwa akicheza dansi makanisani na kutunyonya.
 
huu ni upuuz tena wa hali ya juu, tunapozungumzia suala la maslah ya watanzania halafu mtu mjinga mjinga anakuja na kuingiza masuuala ya udini, mm ni mwislamu lakin nasema hao mashekhe ni washenzi na walaaniwe na watu wa singida waliwachelewesha wangewashikisha adabu, wangewachapa bakora nying sana, wapuuiz sana hao, watakuwa wametumwa na mashetan... pumbavu kabisa
 
Chondechonde sisi tulio kati ya uislamu na ukristo tunaomba tuache malumbano ya kidini hayana msingi na yatadumaza maendeleo ya nchi yetu napenda mtambue vita vikitokea watu wote mtapata madhara na nadhani si tu wakristo na waislamu au maskini na tajiri bali taifa kwa ujumla.


MUNGU IBARIKI TANZANIA TAIFA LILILOJENGWA KWA UMOJA LINAELEKEA KUSAMBARATIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…