Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 5,003
Nadhani unaongea kujifurahisha, soma historia za crusades itajua kwanini karne za kati uislamu ulifutwa ulaya hasa spain! haya mambo ya kupigwa shavu la kulia na ukageuza la kushoto nadhani wengi hawajaelewa manake nini. Siku zaja kitaeleweka tu! Bahati yenu bush alitoka madarakani mngejua lengo lake halisi!WAKIRISTO HAMNA HISTORIA HIYO, HAMUWEZI KITU. Kumbuka waislam ndo walimtoa mkoloni aliyekuwa akicheza dansi makanisani na kutunyonya.