Hali yachafuka singida mjini.

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,780
3,208
Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM.
Katika hutuba Mashekhe wameeleza ukweli wa Chadema na maaskofu pamoja na jinsi wanataka kuharibu amani ya nchi .
pia umuhimu wa waislamu kutoshiriki maandamano ya Chadema Kwani lengo lao ni kumwondoa muislamu na kumweka askofu Slaa.
pia wameeleza jinsi ambavyo MKAPA ndio chanzo cha matatizo yote ila wakristo wakiongozwa na Slaa walikaa kimya.
Wakristo wanaotoka makanisani wanaonekana kukerwa na ukweli huu na wanataka kuuvuruga muhadhara wetu. Takbir!
 
wapo ambao wanazomea ,na wakiendelea uvumilivu utatushinda kwani hatuwezi kukaa kimya muislamu mwenzetu akinyanyaswa na Kafir wa CHADEMA.
Haki sawa kwa wote na sio maaskofu kumdhalilisha rais wetu.
 
Bora nikose kila kitu lakini kukosa akili kunaweza kunisababishia shida kubwa sana.
 
hao wametumwa na hawana lolote njaa upuuzi huo uwezi kutumia mkutano wa dini kuzungumzia maswala ya siasa eti makafiri wanataka kumtoa muislamu kwenye madaraka hao ndio wanachochea vurugu zisizo na msingi na hayo yote wanaagizwa na uongozi mchafu unaojulikana wazi kwa watanzania wote
 
Tatizo kubwa linalowasibu masheikh na maimamu wetu ni njaa nina hakika wanatumiwa lakini wapaswa kufahamu kwamba matatizo yanayozungumzwa na chadema hayawahusu wakristu peke yao. Wanaposema waislamu wasiunge mkono maandamano ya chadema wanamaanisha waislamu hawaguswi na matatizo hayo? Ni waislamu wachache ambao hawajaenda shule kama hao ma sheikh ndio watawasikiliza. Nashangaa kwani vyombo vya dola haviko hapo kwenye muhadhara kuwachukulia hatua wachochezi hao? Maana naami huo ndio uchochezi mkubwa wa kuvuruga amani kuliko wanavyoyafikiria maandamano ya chadema.
 
wapo ambao wanazomea ,na wakiendelea uvumilivu utatushinda kwani hatuwezi kukaa kimya muislamu mwenzetu akinyanyaswa na Kafir wa CHADEMA.
Haki sawa kwa wote na sio maaskofu kumdhalilisha rais wetu.

kavae bomu. Si ndio mnavyofundishwa huko?
 
Utabiri wa Jk unatimia. Hawa hawakusaidii wanakuharibia. Chonde usitupeleke huko utapata shida kuturudisha
 
Kwa singida ninayoifahamu hakuna wanachama wengi wa chadema; asilimia kubwa (zaidi ya 80%) ni wana-CCM. Kama kuna wakristo wanaudhika na huo mharadhara si kwa sababu wako chadema bali kwa sababu mahubiri yenu ni ya uchochezi wa kidini na si siasa kama unavotaka kutuaminisha. Poleni sana wazee wa shari.
 
Haaaaaaaaaaaaaaa!hawa jamaa vipi nakusapoti mdau hawa jamaa njaa kweli wasilete mambo ya ajabu na we mtoa maada una lako jambo take care.
 
Mwenzetu nami naanza kuamini umetumwa. Haki sawa kwa nani sasa? Kwa hiyo kwako watanzania unatugawa ktk kundi la waislamu na makafir? Mungu tuepushie haya!
 
Mimi muislam na uislam unasema hivi utakapoona muislam mwenzio anadhulumiwa mtetee na pia atakapodhulumu mkataze sasa mashekh we2 wanachosema CDM serekali inadhulumu sasa mbona hamumkatazi kikwete anapodhulumu pesa ya walipa kodi kuwapa mafisadi pia uislam unasema dua ya mwenye kudhulumiwa inaenda 1 kwa 1 kwa mungu haina kizuizi mbona hatumwambii kikwete mimi nawaomba wana JF wasiwalaumu waislam bt wawalaumu hawa mashekh ubwabwa wanao2miwa na wanasiasa
 
Mwenzetu nami naanza kuamini umetumwa. Haki sawa kwa nani sasa? Kwa hiyo kwako watanzania unatugawa ktk kundi la waislamu na makafir? Mungu tuepushie haya!

Ndugu nakubaliana na wewe. Kama trend ndio hii kwamba SISI WAISLAMU WAO MAKAFIR, sasa nchi ipo kwenye wakati mbaya kuliko wakati mwingine wowote katika mahusiano ya kijamii. Vyama vya siasa kama Chadema, CCM, CUF, n.k. angalau katika mikutano kama hiyo ya wazi au maandamano inaeleweka wanahubiri siasa. Sasa hao ndugu Masheikh na Maimu hapo Singida kwenye mkutano wa wazi wanahubiri nini? Siasa? Dini? Na kama ni siasa kwa niaba ya nani? Ni muhimu kuchukua hatua sasa vinginevyo nchi haiko salama.

Sasa ni dhahiri UDINI upo (WAISLAMU vs MAKAFIR) na wanufaika wa udini huo naanza kuamini ni wale wale wanaojidai kuupinga kinafiki.
 
Hapo tunaanza kugundua kuwa sasa serikali imeanza kazi yake ya kuvuruga amani. iweje muhaddhara uwe wa kidini halafu wanazungumzia siasa. Huhitaji akili nyingi kuelewa kuwa hilo la mashekh litaigharimu nchi
 
Kama hii ndo akili ya viongozi wenu wa dini mmekwisha!!! Lowass anavyoambiwa fisadi nae ni muislamu?? Chenge ni fisadi hata kama mkristo. Au JK kawapeleka Mramba,Yona na Mgonja mahakamani sababu ni wakristo??
 
Mtoa mada kakurupuka haeleweki anatuhabarisha au analalamika, kabla hujaleta ujinga wako hapa ni vyema ukakaa na kufirikri kilichowaleta hao washenzi hapo ni nini na kuanza kueneza udini wenu hapo. Mshindwe na mlegee. Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom