Wilaya ya mkuranga, mkoa wa pwani kilwa roadKuna tukio limetokea hivi karibuni,katika Kijiji cha Magoza kata ya Kuparang'anda
Mawaziri wote mngekuwa kama wewe hakika Hakuna mtanzania angelalamikaMkoa gani huo na wilaya gani hiyo tafadhali. Saidia taarifa. Shukrani
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Kiparang'anda iko close to Kimanzichana. Although hii kusini kwetu huko ni kesi ya kawaida kabisa. Huko Kuna hali mbaya sana kijamii wakuuHuko si kwa Wazaramo
Remoteness areas! Hiz kwa Afrika ni common issues. Mikoa karibu yote tz ambayo sio majiji hii ipo.. huko hata kiswahili hakijafikagaKuna baadhi ya watanzania na waafrika bado wapo kwenye zama za Ujima.
Yani wao kwao bado wapo Stone age.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Sir midabwada kilikukuta nini kwa akina uchidachi?Kiparang'anda iko close to Kimanzichana. Although hii kusini kwetu huko ni kesi ya kawaida kabisa. Huko Kuna hali mbaya sana kijamii wakuu
Mm yaliyonikuta kwa ndugu zangu wa huko nimewakimbia kabisa. Hawa jamaa sio watu
Hii Ni hatari sana usalama wa raia na Mali zao ni mdogo sana,hawana pa kukimbilia wakipatwa na Jambo baya km hili,serikali iangalie hili kwa jicho la huruma.Bila kupoteza muda,hali ya amani katika Vijijini vyetu ni ya kusikitisha sana,Serikali wekeni umakini katika hili
Kuna tukio limetokea hivi karibuni,katika Kijiji cha Magoza kata ya Kuparang'anda,Binti mlemavu wa masikio,macho na bubu,amebakwa mchana kweupe,Ni hili la kubaka,ni jambo la kawaida sana Vijijini,na Hawana njia ya kutatua,
Kadhalika,jambo la kutiana mimba hususan kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi,imekuwa kawaida mno,adhabu anayopewa Mtia mimba,ni kupeleka kiroba cha sembe kilo Tano kila wiki....
Tatizo
Katika Vijiji vingi,hakuna vituo vya polisi,hakuna lolote lile ambalo wananchi wanaweza kukimbilia
Ifike Wakati,Serikali iweke angalau Kituo kimoja katika Kijiji au Kitongoji,kupunguza uhalifu na kuweka amani
Unaweza kusema
Serikali ipo Mjini tu,Kijijini hakuna Serikali
Serikali ikiwa corrupt kuanzia juu, hupelekea kulegalega kwa uchumi na usalama wa nchi.Bila kupoteza muda,hali ya amani katika Vijijini vyetu ni ya kusikitisha sana,Serikali wekeni umakini katika hili
Kuna tukio limetokea hivi karibuni,katika Kijiji cha Magoza kata ya Kuparang'anda,Binti mlemavu wa masikio,macho na bubu,amebakwa mchana kweupe,Ni hili la kubaka,ni jambo la kawaida sana Vijijini,na Hawana njia ya kutatua,
Kadhalika,jambo la kutiana mimba hususan kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi,imekuwa kawaida mno,adhabu anayopewa Mtia mimba,ni kupeleka kiroba cha sembe kilo Tano kila wiki....
Tatizo
Katika Vijiji vingi,hakuna vituo vya polisi,hakuna lolote lile ambalo wananchi wanaweza kukimbilia
Ifike Wakati,Serikali iweke angalau Kituo kimoja katika Kijiji au Kitongoji,kupunguza uhalifu na kuweka amani
Unaweza kusema
Serikali ipo Mjini tu,Kijijini hakuna Serikali
Wakifungua matawi ya Chadema vituo vya polisi vitajengwa ili kuwadhibiti wapinzani.Bila kupoteza muda,hali ya amani katika Vijijini vyetu ni ya kusikitisha sana,Serikali wekeni umakini katika hili
Kuna tukio limetokea hivi karibuni,katika Kijiji cha Magoza kata ya Kuparang'anda,Binti mlemavu wa masikio,macho na bubu,amebakwa mchana kweupe,Ni hili la kubaka,ni jambo la kawaida sana Vijijini,na Hawana njia ya kutatua,
Kadhalika,jambo la kutiana mimba hususan kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi,imekuwa kawaida mno,adhabu anayopewa Mtia mimba,ni kupeleka kiroba cha sembe kilo Tano kila wiki....
Tatizo
Katika Vijiji vingi,hakuna vituo vya polisi,hakuna lolote lile ambalo wananchi wanaweza kukimbilia
Ifike Wakati,Serikali iweke angalau Kituo kimoja katika Kijiji au Kitongoji,kupunguza uhalifu na kuweka amani
Unaweza kusema
Serikali ipo Mjini tu,Kijijini hakuna Serikali
Jamaa wanga Sana. Huko mm nimekutana na uchawi live mkuuSir midabwada kilikukuta nini kwa akina uchidachi?
Apewe ama asipewe adhabu ndo tayari ishabakwa.Kwahiyo ukibakwa mbakaji akipewa hiyo adhabu utarudhika
Ahsante Sana Abuu Dharr na wote mliosaidia kutaja ni wapi huku. Tayari wataalamu kupitia mamlaka ya mkoa na wilaya na Dawati la Jinsia ngazi zote wanafuatilia, nitapata taarifa ya ufuatiliaji. Kwa ushirikiano zaidi unaweza kuwasilisha nami kwa sms kwenye namba 0765345777, USIRI WA MTOA TAARIFA KUZINGATIWA. Shukrani jamii kwani bila ushirikiano na jamii ni mtihaniBila kupoteza muda,hali ya amani katika Vijijini vyetu ni ya kusikitisha sana,Serikali wekeni umakini katika hili
Kuna tukio limetokea hivi karibuni,katika Kijiji cha Magoza kata ya Kuparang'anda,Binti mlemavu wa masikio,macho na bubu,amebakwa mchana kweupe,Ni hili la kubaka,ni jambo la kawaida sana Vijijini,na Hawana njia ya kutatua,
Kadhalika,jambo la kutiana mimba hususan kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi,imekuwa kawaida mno,adhabu anayopewa Mtia mimba,ni kupeleka kiroba cha sembe kilo Tano kila wiki....
Tatizo
Katika Vijiji vingi,hakuna vituo vya polisi,hakuna lolote lile ambalo wananchi wanaweza kukimbilia
Ifike Wakati,Serikali iweke angalau Kituo kimoja katika Kijiji au Kitongoji,kupunguza uhalifu na kuweka amani
Unaweza kusema
Serikali ipo Mjini tu,Kijijini hakuna Serikali

Mkuu usisahau kuleta mrejeshoAhsante Sana Abuu Dharr na wote mliosaidia kutaja ni wapi huku. Tayari wataalamu kupitia mamlaka ya mkoa na wilaya na Dawati la Jinsia ngazi zote wanafuatilia, nitapata taarifa ya ufuatiliaji. Kwa ushirikiano zaidi unaweza kuwasilisha nami kwa sms kwenye namba 0765345777, USIRI WA MTOA TAARIFA KUZINGATIWA. Shukrani jamii kwani bila ushirikiano na jamii ni mtihani