Watu wengine akili zao sijui wamezikopesha wapi?
Haya magroup ya whatsapp hayapo kwa ajili ya umbea au uhuni au kuipinga serikali tu.
Yapo magroup ya family, ukoo, schools mates, VICOBA, ujasiriamali, ushirikiano, ukabila, ukanda, na mengine mengi kwa sababu ya kusaidiana wakati wa shida na raha. Hii ni kuingilia uhuru wa mtu kabisa. Siyo magroup yote yana mlengo wa kushoto. Huyu afisa aliyetoa hilo tangazo atakuwa ni yule wa mfumo huu; form four- depo CCP Moshi- certificate- diploma- degree- post graduate- masters. Yani full kulazimisha shule.