BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Aseee...!!Hali ya usalama wa Arusha inatisha sana sasa hivi, ujambazi, utapeli na uwizi vimerudi upya. Kuna kila style ya uwizi na kusikitisha ukienda polisi msaada si mkubwa kihivyo.
1. Kuna vijana Arusha wamekuja na style ya utapeli wa dawa za kupreserve mazao na case kama hizo pale central police ni nyingi sana
2. Uwizi wa kuvunja nyumba umerudi, mimi naishi moshono na nina several places ambazo zimevunjwa ka kuibiwa katika siku mbili hizi
3. Ujambazi pia umerudi, siku ya alhamisi Moshono Super marketi illingiliwa na majambazi around saa mbili na kuwa harrass wateja na kuiba pesa zote huku wakimpiga muuzaji (lady) na kitako cha bunduki. Na pia walivamia maduka maeneo ya kwa Ibrahim mapembe
4. Pia jana kuna bureau imevamiwa asubuhi na kuuwawa mlinzi
5. Risasi zinalia kila siku kuanzia saa 2 utadhani tuko Afghanistan.
Where are we heading??? Naambiwa kuna majambazi wengi sana wameachiwa toka gerezani ila sina data za kutosha.
Hali ya usalama wa Arusha inatisha sana sasa hivi, ujambazi, utapeli na uwizi vimerudi upya. Kuna kila style ya uwizi na kusikitisha ukienda polisi msaada si mkubwa kihivyo.

Kwa 2011 siwezi kushangaa,nimeisoma post na kuidhihaki baada ya kujua ni ya humo mwaka,ila kwa kipindi cha 2014 hadi sasa Polisi Arusha wanafanya kazi inayoonekana sana yamebakia matukio madogo sana ambayo sio tishio kama awalihiyo Ilikuwa 2011
Hata mimi mkuu.Kwa 2011 siwezi kushangaa,nimeisoma post na kuidhihaki baada ya kujua ni ya humo mwaka,ila kwa kipindi cha 2014 hadi sasa Polisi Arusha wanafanya kazi inayoonekana sana yamebakia matukio madogo sana ambayo sio tishio kama awali
Hali ya usalama wa Arusha inatisha sana sasa hivi, ujambazi, utapeli na uwizi vimerudi upya. Kuna kila style ya uwizi na kusikitisha ukienda polisi msaada si mkubwa kihivyo.
Wanawake wengine bwana [emoji35] kwani sasaivi ccm ndio inatawala arusha? Mbona tangu mwaka 2012 ujambazi umeishaYaani toka CHADEMA washike Arusha ujambazi na wizi umeongezeka mno
Ndio maandamano yanaanza taratibu hivyoo police wataisoma nambaHali ya usalama wa Arusha inatisha sana sasa hivi, ujambazi, utapeli na uwizi vimerudi upya. Kuna kila style ya uwizi na kusikitisha ukienda polisi msaada si mkubwa kihivyo.
1. Kuna vijana Arusha wamekuja na style ya utapeli wa dawa za kupreserve mazao na case kama hizo pale central police ni nyingi sana
2. Uwizi wa kuvunja nyumba umerudi, mimi naishi moshono na nina several places ambazo zimevunjwa ka kuibiwa katika siku mbili hizi
3. Ujambazi pia umerudi, siku ya alhamisi Moshono Super marketi illingiliwa na majambazi around saa mbili na kuwa harrass wateja na kuiba pesa zote huku wakimpiga muuzaji (lady) na kitako cha bunduki. Na pia walivamia maduka maeneo ya kwa Ibrahim mapembe
4. Pia jana kuna bureau imevamiwa asubuhi na kuuwawa mlinzi
5. Risasi zinalia kila siku kuanzia saa 2 utadhani tuko Afghanistan.
Where are we heading??? Naambiwa kuna majambazi wengi sana wameachiwa toka gerezani ila sina data za kutosha.
Mmezidu kuwatusi na kuwakashfu polisi na vyombo vingine vya dolaHali ya usalama wa Arusha inatisha sana sasa hivi, ujambazi, utapeli na uwizi vimerudi upya. Kuna kila style ya uwizi na kusikitisha ukienda polisi msaada si mkubwa kihivyo.
1. Kuna vijana Arusha wamekuja na style ya utapeli wa dawa za kupreserve mazao na case kama hizo pale central police ni nyingi sana
2. Uwizi wa kuvunja nyumba umerudi, mimi naishi moshono na nina several places ambazo zimevunjwa ka kuibiwa katika siku mbili hizi
3. Ujambazi pia umerudi, siku ya alhamisi Moshono Super marketi illingiliwa na majambazi around saa mbili na kuwa harrass wateja na kuiba pesa zote huku wakimpiga muuzaji (lady) na kitako cha bunduki. Na pia walivamia maduka maeneo ya kwa Ibrahim mapembe
4. Pia jana kuna bureau imevamiwa asubuhi na kuuwawa mlinzi
5. Risasi zinalia kila siku kuanzia saa 2 utadhani tuko Afghanistan.
Where are we heading??? Naambiwa kuna majambazi wengi sana wameachiwa toka gerezani ila sina data za kutosha.
Kideri cha ubongo ni hatari sana.Yaani toka CHADEMA washike Arusha ujambazi na wizi umeongezeka mno