JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,315
- 11,672
Jamani inauma sana. Kwa bahati mbaya ama nzuri watu wa Dar tuko busy na foleni, kazi,maisha n.k. yanayotokea huku mitaani ni hatari sana hadi polisi wetu wamekiri kuzidiwa.
Matukio mengi sana na ya kutisha. Watu wanakabwa na vibaka, wengine wamenyang"anywa mali zao, uvamizi na kazalika. kwa ujumla hari ni mbaya sina uwezo wa kuelezea. Kama haya matukio hayajakukuta utaona ni mzaha ukizingatia watu wa dar tuko busy.
Wakuu tumaomba tuishauri serikali na jeshi lake la poilisi lifanyeje ili liyuokoe na hatari hii. Panyaroad wapo, wengine si panyaroad ni vibaka tu ila wanatumia mwamvuli wa panya road ili kutia hofu watu na kupola mali zao kirahisi.
Natamani kova atembee mwenyewe kila kona kama wanavyo fanya mawazili ili aone vichaka vya vibaka vilipo. inauma sana. Kova amkaaaa.. tutaisha. hofu juu ya hofu.
Kuienda kituo cha polisi utashuhudia mwenyewe yaani hadi polisi wenyewe wameanza kuona hari ya kawaida. Ukitoa ripori badala ya kufanyia kazi wanaanza kukupa stori ya matukio yaliyotokea mabaya zaidi ya unaloripoti na mwisho wanakuomba!!
Nawasilisha.