Hali ya usalama jiji la Dar ni mbaya sana

Hali ya usalama jiji la Dar ni mbaya sana

hapo kwenye nyekundu polisi walimwambia nini? sijaelewa kabisa. Halafu Binadamu inabidi tuishi kwa hofu ya MUNGU, michepuki si mizuri jamani.
Keyboard ilisumbua mkuu hapo jamaa alipoenda report polisi wakamjibu kesi za huko washazichoka kuletewa, maana wanawake wanatumiwa kama mtego...
 
Watz siku hizi wanapenda kukuza mambo sijui kwa faida ya nani???? Mtoa mada wala hajasema ni eneo gani hapa Dar!! Dar ni shwari kabisa ukilinganisha Na majiji mengi hapa Afrika. Mtoa mada tembea uone!!

mkuu wewe si mtanzania. hatuwezi kujilinganisha usalama wetu na uhai wetu na nchi nyingine. na inaonesha haujawahi ona live ama kupatwa na mkasa kama huu inauma sana. ili kutaja baadhi ya maeneo tu ya hapa dar ni kama vile Tabata,kigogo,mburatahi,mbagara,kigamboni,tandare, ubungo , goba, buguruni, ilala, kinondoni n.k hayo ni baadhi tu na utaona picha harisi..vibaka wametia hofu sana hapa dar na wakaazi wake. ikifika jioni mnakula wote mezani mkiwa salama mnamahukuru Mungu.
 
boss wake mwizi ni polisi leo mwizi anakamatwa kesho unamuona mtaani hata mtu sometime anaweza akaibiwa anaona uvivu kwenda polisi kwasababu anaona haina maana polisi ndio wanafuga ubovu kutokana na tamaa zao na tatizo lingine nchi yetu wizi umekithiri mno sasa imefika wakati inaonekana wizi ni mila na desturi kila kiongozi mwizi unafikiri watatusaidia nini mm naona hapa solution inabidi tujilinde wenyewe kwasababu jeshi la polisi lina udhaifu sana hadi inafikia hatua wao wenyewe wanashindwa kujilinda na hii ni matokeo ya makosa ambayo wanayafanya
 
Jamani inauma sana. Kwa bahati mbaya ama nzuri watu wa Dar tuko busy na foleni, kazi,maisha n.k. yanayotokea huku mitaani ni hatari sana hadi polisi wetu wamekiri kuzidiwa.

Matukio mengi sana na ya kutisha. Watu wanakabwa na vibaka, wengine wamenyang"anywa mali zao, uvamizi na kazalika. kwa ujumla hari ni mbaya sina uwezo wa kuelezea. Kama haya matukio hayajakukuta utaona ni mzaha ukizingatia watu wa dar tuko busy.

Wakuu tumaomba tuishauri serikali na jeshi lake la poilisi lifanyeje ili liyuokoe na hatari hii. Panyaroad wapo, wengine si panyaroad ni vibaka tu ila wanatumia mwamvuli wa panya road ili kutia hofu watu na kupola mali zao kirahisi.

Natamani kova atembee mwenyewe kila kona kama wanavyo fanya mawazili ili aone vichaka vya vibaka vilipo. inauma sana. Kova amkaaaa.. tutaisha. hofu juu ya hofu.

Kuienda kituo cha polisi utashuhudia mwenyewe yaani hadi polisi wenyewe wameanza kuona hari ya kawaida. Ukitoa ripori badala ya kufanyia kazi wanaanza kukupa stori ya matukio yaliyotokea mabaya zaidi ya unaloripoti na mwisho wanakuomba!!

Nawasilisha.

huyo ndio anaitwa kamanda kova alipooondoka mbeya watu walifanya sherehe .
kova hafai hata kuwa OSS
 
Hawa vibaka wa DSM balaa kabisa...yaani hata wakati unaandika uzi huu walikuwa wanakukimbiza?
 
Back
Top Bottom