Hali ya umeme hapo ulipo ipoje? Tupeane taarifa

Hali ya umeme hapo ulipo ipoje? Tupeane taarifa

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,299
Reaction score
15,026
Kiukwel awamu hii hatutaacha kuiona rangi juu yankukatika kwa umeme

Pia mods tunaomba thread hii isiunganishwe na uzi wa tanesco Kwan hakuna msaada tuupatao kwa kadhia hii yakukatika kwa umeme

Naanza mm muda huu mbezi beach umeme umekatika yaan unakuja baada ya muda fulan unarud

Asubuh nilikuwa mbagala kilungule nako umeme haukuwepo

Vip huko kwenu Hali ipoje
 
Hata uku kwetu umeme umekatika umerudi Tena, Mbona kipindi Cha jiwe ujinga huu wa kukata umeme ovyo haukuwepo, mama Samia, waziri wa nishati anzeni kuwa tumbua watu.
 
Kwa sasa umeme upo japo naamini muda huu na type hii reply technician wa umeme anaenda kuchomoa wire.
 
WAMEKATA SASA HIVI BAADA YA KUKATA NA USIKU PIA
 
Nipo zangu Banda la Mpira nacheki mechi ya yanga na coast Union, tanesco wameshakata kipindi cha pili kikiendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom