Hali ya uchumi inaridhisha, mfumuko wa bei umeshuka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya uchumi inaridhisha, mfumuko wa bei umeshuka.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J Lee, Dec 31, 2010.

 1. J

  J Lee Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni maneno ya JK ktk hotuba yake tar. 31.12.2010
   
 2. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  And then anaomba wananghi waikubali bei mpya ya umeme kwa sababu gharama za uendeshaji zimepanda.
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Flippin hell! this mannnnn!
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kupanda kwa Gharama za Umeme maana yake ni Kupanda kwa huduma zote zinazotegemea Umeme katika Uzalishaji, Viwanda vinategemea Umeme, Huduma nyingine kama Saloon zinatumia Umeme,

  Sasa Mfumuko wa Bei Utashukaje wakati gaharama za Uzalishaji zinapanda?
   
 5. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Crap as usual of mkwere
   
 6. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Inatia moyo kiasi chake, amegusia suala la katiba pia...
   
 7. e

  ejogo JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni very strange na kutofikiri kusema mfumuko wa bei umeshuka, ni vigezo gani wanatumia kutuambia hilo? May be ulishuka kwa siku moja na wakashindwa kuucontrol ukapanda maradufu. Wameshindwa kukontrol bei ya umeme ambayo itafanya kila kitu kwenda juu zaidi very soon. Maisha yamekuwa magumumagumu magumu yaani na bado hiyo bei yao mpya ya umeme ikianza sijui itakuwaje.
   
 8. e

  ejogo JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa hili la mfumuko wa bei kushuka namkatalia katakata. labda kama sifahamu maana ya mfumuko wa bei, lakini nadhani Mkwere angepita huko masokoni kama alivyokuwa anafanya mwanzoni tu alipoingia marakani ktk kipindi chake cha mwanzo na kujionea mwenyewe. yeye kaishasahau hilo siku hizi ni marekani tu.
   
Loading...