Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,188
- 1,604
MLAU, hata wewe binafsi tena sirini; unajua fika kuwa ni kweli alichosema mleta mada, ila hata sisi wengine tunajua kwamba unasema haya ili ugangegange matatizo haya haya.Sio kweli ni mtazamo wako tu,tulizoea kupeana sasa tutafute wenyewe tupate.
Milango yote ya bure imefungwa ni mwendo wa sheria tu longolongo tena mwisho kibaha.
Ukishindwa itisha harambee kama michango ya harusi kama hali ni mbaya sana.
Propaganda hizo zimepitwa na wakati kwa sasa mambo ya girlfriend kula naye starehe ni issue binafsi.
Wenye kuna fursa wanafanya vitu na maisha kama enzi za awamu ya NNE tu
Yaani ni kwamba sisi tunakuelewa, na hata wewe unaelewa kuwa sisi tumekuelewa kuwa uko mzigoni.