Hali ya sasa sio nzuri nje na ndani ya chama.

Hali ya sasa sio nzuri nje na ndani ya chama.

Wewe uko wapi kaongea kitu cha masma wewe unajibu kijinga pyuuuu[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hapo sikumjibu bali nilikuwa natoa burudani ya nyimbo yetu pendwa usichukulie hasira wacha tuisome namba
 
Sasa wapinzani hawana haja ya kuhubiri umuhimu wa mabadiliko nje ya CCM tena, Kila Raia ni shuhuda wa kinachoendelea nchini, ambaye hajapata ya kuoga basi kapata ya kunywa.

[emoji117]Hakuna ajira
[emoji117]Hakuna posho
[emoji117]Hakuna ongezeko la mshahara ambalo lipo kikatiba
[emoji117]Vyombo vya habari vimezibwa midomo
[emoji117]Daladala marufuku mbezi, thus Mbezi posta/mhimbili gari 3 lazima
[emoji117]Hakuna mikopo kwa wasomao
[emoji117]Makato ya mshahara wa mwezi yazidiyo nusu ya mshahara.
[emoji117]Ushuru umerudi, Muheza wanalipia Kodi ya kichwa cha ng'ombe kwa mjibu wa ITV jana.
[emoji117]Pesa za Wahanga wa majanga kutumika katika shughuli zingine za serikali
[emoji117]Ukitia neno gerezani
[emoji117]Mabenki yanafisirika na hayakopeshi tena.
[emoji117]Pesa mtaani Hakuna, ukienda out na girlfriend wako unaishia kuagiza maji ya uhai tsh 500/= hadi mnatoka,,,,,,,,Ila uchumi unapanda kwenye makaratasi

Wasukuma wana msemo usemao, 'Gugwa gombulo mpaga mininga mugotu' Yaani Kuumia kwa kenge mpaka damu sikioni'

Wacha Tunyooshwe mpaka masikio yavuje damu, probably 2020 tuta-akilika!
[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]

POST OF THE DAY, I CLOSE THE DEAL
 
Sio kweli ni mtazamo wako tu,tulizoea kupeana sasa tutafute wenyewe tupate.

Milango yote ya bure imefungwa ni mwendo wa sheria tu longolongo tena mwisho kibaha.

Ukishindwa itisha harambee kama michango ya harusi kama hali ni mbaya sana.

Propaganda hizo zimepitwa na wakati kwa sasa mambo ya girlfriend kula naye starehe ni issue binafsi.

Wenye kuna fursa wanafanya vitu na maisha kama enzi za awamu ya NNE tu
Hata walionyimwa mikopo wakiwa na sifa wanapenda vya bure?
 
Alishasema yeye hajaribiwi na hakika nimeamini hajaribiwi maana kamwonesha Mwingereza kazi...Kapiga rambirambi!
Kapiga zote.jpg
 
Ficha upumbav.u wako, hakuna cha upinzani wala nini kwa sasa. Wanaolia ni watanzania wote. Msipotoshe hoja kwa kivuli cha upinzani. Ukweli kwamba hali mtaani ni mbaya mno, utadhani tumerudi enzi ya vita vya majimaji
Watu wanauza korosho zao kwa 3800 kutoka sh 1000 halafu unatapika porojo kwenye mtandao!

Chadema mmebakiza deals za kutumia ruzuku kwenye kesi tu!
 
Sasa wapinzani hawana haja ya kuhubiri umuhimu wa mabadiliko nje ya CCM tena, Kila Raia ni shuhuda wa kinachoendelea nchini, ambaye hajapata ya kuoga basi kapata ya kunywa.

[emoji117]Hakuna ajira
[emoji117]Hakuna posho
[emoji117]Hakuna ongezeko la mshahara ambalo lipo kikatiba
[emoji117]Vyombo vya habari vimezibwa midomo
[emoji117]Daladala marufuku mbezi, thus Mbezi posta/mhimbili gari 3 lazima
[emoji117]Hakuna mikopo kwa wasomao
[emoji117]Makato ya mshahara wa mwezi yazidiyo nusu ya mshahara.
[emoji117]Ushuru umerudi, Muheza wanalipia Kodi ya kichwa cha ng'ombe kwa mjibu wa ITV jana.
[emoji117]Pesa za Wahanga wa majanga kutumika katika shughuli zingine za serikali
[emoji117]Ukitia neno gerezani
[emoji117]Mabenki yanafisirika na hayakopeshi tena.
[emoji117]Pesa mtaani Hakuna, ukienda out na girlfriend wako unaishia kuagiza maji ya uhai tsh 500/= hadi mnatoka,,,,,,,,Ila uchumi unapanda kwenye makaratasi

Wasukuma wana msemo usemao, 'Gugwa gombulo mpaga mininga mugotu' Yaani Kuumia kwa kenge mpaka damu sikioni'

Wacha Tunyooshwe mpaka masikio yavuje damu, probably 2020 tuta-akilika!
[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
Hata kama lakini siyo kwa mzaha wa UKAWA mwaka Jana wa kuwafanya Watanzania wajinga kwa kuwauzia biashara hewa!!! Tumeerevuka jamani siyo kwa Mgombea yuleeeeeee!!
 
Watu wanauza korosho zao kwa 3800 kutoka sh 1000 halafu unatapika porojo kwenye mtandao!

Chadema mmebakiza deals za kutumia ruzuku kwenye kesi tu!
Ni sahihi kabisa wazazi wako wakakuita jingalao kwahiyo zuzu kama wewe huwezi kunipotezea muda. Tafuta post zangu za kabla ya uchaguzi ndio utajua wanaokosoa hizi sera zenu za kimagumashi ni watu wa aina gani.
[HASHTAG]#tukutane2020[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom