DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,797
- 30,409
Sasa wapinzani hawana haja ya kuhubiri umuhimu wa mabadiliko nje ya CCM tena, Kila Raia ni shuhuda wa kinachoendelea nchini, ambaye hajapata ya kuoga basi kapata ya kunywa.
[emoji117]Hakuna ajira
[emoji117]Hakuna posho
[emoji117]Hakuna ongezeko la mshahara ambalo lipo kikatiba
[emoji117]Vyombo vya habari vimezibwa midomo
[emoji117]Daladala marufuku mbezi, thus Mbezi posta/mhimbili gari 3 lazima
[emoji117]Hakuna mikopo kwa wasomao
[emoji117]Makato ya mshahara wa mwezi yazidiyo nusu ya mshahara.
[emoji117]Ushuru umerudi, Muheza wanalipia Kodi ya kichwa cha ng'ombe kwa mjibu wa ITV jana.
[emoji117]Pesa za Wahanga wa majanga kutumika katika shughuli zingine za serikali
[emoji117]Ukitia neno gerezani
[emoji117]Mabenki yanafisirika na hayakopeshi tena.
[emoji117]Pesa mtaani Hakuna, ukienda out na girlfriend wako unaishia kuagiza maji ya uhai tsh 500/= hadi mnatoka,,,,,,,,Ila uchumi unapanda kwenye makaratasi
Wasukuma wana msemo usemao, 'Gugwa gombulo mpaga mininga mugotu' Yaani Kuumia kwa kenge mpaka damu sikioni'
Wacha Tunyooshwe mpaka masikio yavuje damu, probably 2020 tuta-akilika!
[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]