Hali ya sasa sio nzuri nje na ndani ya chama.

Hali ya sasa sio nzuri nje na ndani ya chama.

Kama zimepigwa kweli tutajua tu,hakuna shaka na hilo Serikali ipo katika kujua ukweli wa madai hayo na hope taarifa itatolewa soon ili ukweli ujulikane.
Hukusikia kauli ya mkuu wa mkoa? Hv km mtu anakusanya michango unategemea yy aje aseme amekuibia? [emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Sasa Wadaiwa wa NHC wanalipa.....ongezea kwenye orodha
Ya NHC waachie wapangaji, watanzania wengi wa Kawaida hatuna ubavu wa kuwa Partner wa NHC ,vibalaka wa Makada wa CCM mtuache watanzania tuzungumzie shida zetu japo hamtaki tuseme, hamtaki kutusikiliza Tuacheni tuongee! Sisi Mbowe si Mali kitu ila mishahara yetu haikidhi mahitaji ya maisha yetu, Biashara zetu zinadidimia kila siku! Kiufupi tuliko tulijitakia tuliambiwa hatukusikia...!!!
 
Hukusikia kauli ya mkuu wa mkoa? Hv km mtu anakusanya michango unategemea yy aje aseme amekuibia? [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Si mnasema pesa za wahanga wa tetemeko la Kagera zimepigwa, ndiyo nasema taarifa sahihi ya tuhuma hizo itatolewa na mamlaka husika husika wa michango hiyo pale watakapoona kuna uhitaji wa kufanya hivyo.
Taarifa ya Mkuu wa Mkoa haielezei tuhuma hizo unazozisema wewe,yenyewe inatoa taarifa ya kinachoendelea on the ground huko Kagera
 
Sio kweli ni mtazamo wako tu,tulizoea kupeana sasa tutafute wenyewe tupate.

Milango yote ya bure imefungwa ni mwendo wa sheria tu longolongo tena mwisho kibaha.

Ukishindwa itisha harambee kama michango ya harusi kama hali ni mbaya sana.

Propaganda hizo zimepitwa na wakati kwa sasa mambo ya girlfriend kula naye starehe ni issue binafsi.

Wenye kuna fursa wanafanya vitu na maisha kama enzi za awamu ya NNE tu
Na hela ya rambirambi wabunge wanagawiana mil 10 ili kupitishwa mswada wa vyombo vya habari
 
Na hela ya rambirambi wabunge wanagawiana mil 10 ili kupitishwa mswada wa vyombo vya habari
Nadhani PCB na vyombo vingine vya uchunguzi watakuja na taarifa baada ya kufanya uchunguzi wa suala hilo la mil 10.

Tuvute subira tuone yatakayojiri.
 
Najitambua sana na naelewa mada na kutoa commet kulingana na msimamo wa Serikali ya Awamu Tano na hasa Dhamira ya Mh Rais John Magufuli kwa yale anayoyafanya kutokana na mapungufu aliyoyaona katika utawala ndani ya Serikali.

Lengo ni kuhakikisha Serikali inamtumikia kila mwanainchi bila upendeleo wowote na kila mmoja anapata HAKI kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu za nchi na siyo kikundi cha watu wachache wawe ndiyo wamiliki na wafaidika wa rasilimali za nchi hii.

Mh Rais Magufuli hafanyi kazi kwa misingi ya Dini,Ukabila wala Ukanda fulani.Mimi ni Mwanainchi tu wa kawaida ila napenda nchi hii tupige hatua katika sekta tofauti na tuwe na nidhamu katika Utumishi wa Umma na wanainchi tutoe mchango mkubwa ktk kufanikisha maendelea ya TANZANIA kwa ujumla wetu na wala si kazi ya mtu mmoja au kikundi cha watu.

Tumpe support Rais wetu kwa Juhudi kubwa anazofanya katika mabadiliko makubwa ya kuboresha mifumo mbalimbali ndani ya Serikali ili kupunguza na kumaliza kabisa mianya ya ubadhirifu wa mali ya umma ili Dhana ya Mwl Nyerere ya kupigana Vita dhidi ya UJINGA,UMASIKINI NA MARADHI tuweze kuitimiza.
Kuboresha mfumo upi mimi sikuelewi hebu angalia sekta ya afya inavyoenda alijojo. Ukienda hospitali sio ile unayotibiwa wewe kwa pesa maana hapo hujui jinsi wananchi wanavyoteseka kupata dawa. Kuna jirani yangu kafariki baada ya kukosa chanjo ya tetanus. Ngoja afe baba yako ndiyo akili itakurudia sasa hivi ngoja tukuache
 
Nadhani PCB na vyombo vingine vya uchunguzi watakuja na taarifa baada ya kufanya uchunguzi wa suala hilo la mil 10.

Tuvute subira tuone yatakayojiri.
Kwani taarifa ya PCB itaondoa ukweli? Hukusikia watu wanasema maafa ya Bukoba ilipatikana sh 5.4B?
 
Sasa wapinzani hawana haja ya kuhubiri umuhimu wa mabadiliko nje ya CCM tena, Kila Raia ni shuhuda wa kinachoendelea nchini, ambaye hajapata ya kuoga basi kapata ya kunywa.

[emoji117]Hakuna ajira
[emoji117]Hakuna posho
[emoji117]Hakuna ongezeko la mshahara ambalo lipo kikatiba
[emoji117]Vyombo vya habari vimezibwa midomo
[emoji117]Daladala marufuku mbezi, thus Mbezi posta/mhimbili gari 3 lazima
[emoji117]Hakuna mikopo kwa wasomao
[emoji117]Makato ya mshahara wa mwezi yazidiyo nusu ya mshahara.
[emoji117]Ushuru umerudi, Muheza wanalipia Kodi ya kichwa cha ng'ombe kwa mjibu wa ITV jana.
[emoji117]Pesa za Wahanga wa majanga kutumika katika shughuli zingine za serikali
[emoji117]Ukitia neno gerezani
[emoji117]Mabenki yanafisirika na hayakopeshi tena.
[emoji117]Pesa mtaani Hakuna, ukienda out na girlfriend wako unaishia kuagiza maji ya uhai tsh 500/= hadi mnatoka,,,,,,,,Ila uchumi unapanda kwenye makaratasi

Wasukuma wana msemo usemao, 'Gugwa gombulo mpaga mininga mugotu' Yaani Kuumia kwa kenge mpaka damu sikioni'

Wacha Tunyooshwe mpaka masikio yavuje damu, probably 2020 tuta-akilika!
[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
Hata vyote hivyo vingekuwepo bado 2020, hutamchagua maana umefungwa na mifumo chama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom