Hali ya Mwakyembe, Mwandosya na Chami India | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya Mwakyembe, Mwandosya na Chami India

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raimundo, Nov 3, 2011.

 1. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Jamani naombeni kujua anayejua hali za hawa wanasiasa walioko huko India ziko vipi, au kama walisharudi Bongo niambiwe. Kwa sababu kama Mwakyembe alivyoondoka tulikuwa tunapata updates kila wakati, hivi sasa naona kimyaaaa, Mwandosya vipi?

  Kwa sasa naona ni Kamanda Zitto tu ndiye tunayepata nyuzi zake! Isije na yeye ikawa ni nguvu ya soda baadaye atakuwa kimya, India panaanza kunitisha hasa kwa hawa viongozi wa serikali ambao ni wanasiasa wakubwa.

  Mwenye taarfa tafadhali.
   
 2. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Jamani mwenye updates za makamanda wetu atujuze, wiki illiyopitra kuna kiongozi mmoja wa serilkali alitamka kwamba jamaa wangeanza kuja mmoja mmoja wiki hii kwa sababu wana nafuu kwa sasa.

  Mwenye taarifa tafadhali.
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuendelee kuwaombea wapone
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  wawili watz wana mashaka nao..mmoja sijui.
   
 5. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wako safi mungu anawapigania hivi kalibuni wataludi ninapicha lakini siwezi jinsi ya kuweka
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  siku hizi imekua trend, nina picha lakini siwezi kuweka... cut the crap, if you cant post them basi kaa kimya

  hakuna mileage katika jF
   
 7. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mbaya zaidi huyu ni "JF Senior Expert Member". Invisible inabidi atazame upya vigezo vya kuwapandisha watu madalaja hapa JF.
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,626
  Trophy Points: 280
  leo saa tatu usiku angalia itv kipindi cha dakika 45 uweze kusikia taarifa ya serikali juu ya hao wagonjwa.mia
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Kwa sasa ukijidai kimbelembele cha kujua sana wanakupumzisha india faster kweli utawala wa sheikh huyu alhaji asiyetaka kwenda hijja ni balaa anajua anachofanya ndio maana anaogopa kwenda hijja!!!!
   
 10. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muuuh sijui nini kinaendelea japo nimesikiliza itv sijapata la maana sana
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  anaweza akabaki huko nini??
   
 12. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mungu awasaidie wapone
   
 13. s

  sportslady New Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu atawalnda wapendwa mcwe na hofu watapona,na wakirud wataendlea na moto uleule
   
 14. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Jamani mm naomba ile ripoti ya ki interijensia ya magonjwa ya mwakyembe na mwandosya ambayo iliwahi kuwekwa humu jf iko wapi,nimeitafuta sijaiona,mwenye nayo aniPm
   
Loading...