Hali ya Mtwara mchana huu

Mtwara mungu yu pamoja nanyi msiwaogope polisi bali muogopeni mungu kwake kila kitu kinawezekana.
 
Kama hali ni hiyo si bora watangaze hali ya hatari?
 
Namkumbuka baba wa taifa aliposema "Development is the development of people". Ulale mahali pema
 
Safi sana wana Ntwara, hii ni message kwa maCCM, Dagote na Obama na tour yake ya gesi! well done Kusini kwanza, bagamoyo badae....
 
Wana JF, updates kutoka Mtwara zinasema wananchi wameitikia wito wa kutofanya kazi yeyote na kwamba ofisi za serikali tu ndio zinatoa huduma huku kila mwananchi akiwa nyumbani kwake.


Naona huu utakuwa uchokozi Mkuu JEMEDARI .H., thread umeiweka saa 2 asubuhi unulizia hali ya Mtwara mchana huu?
 
Last edited by a moderator:
Kwa maoni yangu, Mtwara kuna Siasa NZITO; ni zaidi ya sisa. Wana Mtwara wanayo haki ya kuonesha his zao lakini ziwe za kwao kweli, zile za msukumo wa wafanya biashara wa NJE na ndani.

Kuna watu wanajua sana kuwatumia wenzao, baada ya hapo huwatupa Kama kasha la mpira! Wana Mtwara nawatakia hekima, busara na UZALENDO mbele.
 
Throughgoing we need a Radical preassure, and extreme
Politics from the opposition Parties, in this this natural
gas reasource matters.
 

Hakuna uchochezi hapa. Kizazi cha sasa si kile cha "ndiyo mwalimu, ndiyo mwalimu!". Kwa maana nyingine,"Kizazi hiki hakimjui Yusufu(Waziri mkuu wa Farao). Hawa wa leo, hawajui TAA, Hawajui TANU, wala Mwl. Nyerere" hiki ni kizazi kipya cha rika lile lile la vijana wanamageuzi wa Tunisia, Libya, Misri,........... hapa malizia mwenyewe.Kisha fanya tathimini na hitimisho.

Juzi juzi tu, wananchi wa mikoa ya kusini "wamedai malipo yao ya korosho waliyoiuza kwa vyama vya ushirika. Mkadai si bure kuna mkono wa mtu, wanachochewe. Orodha ni ndefu ambayo haina majibu, hawana mtetezi,Vigogo wa serikali na CCM wamegawana Makampuni ya kununua mazao na kuuza pembejeo. Hao ndiyo wachochezi wenyewe.
 
mdharau mwiba mguu huota tende, msiwadharaua wananchi muwasikilize , tujaribu kujifunza kutoka Nigeria. Sasa yamefika majimbo matatu badala ya moja la awali na hali ya hatari imetangazwa lakini nayo haitafaa kitu kama wananchi hawajasikilizwa
 
kazi naona ndio inaanza mtoto wa mkulima ahadi zake zimeyeyuka au?
 
Good moove wana Ntwala,umoja wenu ndio ukombozi wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…