mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
Bwana alitoa na sasa ataka kutwaa kiumbe chake jina lake lihimidiwePoleni sana, ila mimi siwezi kumuombea kwa sababu ana ulafi na uroho wa usalama wake
nimekuelewa mkuu ila hata sisi ndg wa ndan tumemchoka sana.... afe tu ikiwezekana hata kabla ya io miaka mitano maana kaua uchumi wa familia kila dawa... chakula anataka yy... loooh kibaya zaid wanandg na majirani tukimshaur n mbishiiiii hatusikiliz...Pamoja na maonyo ya watu wazima ya kwamba mgonjwa wetu yu mahututi hata mkimpa dawa ni sawa na kujisumbua maana ile pumzi ya uhai imeshakata
Lakin kwa kuwa bado tulikua na imani na mgonjwa wetu na bado tulimhitaji ikatubidi tuwe na kichwa ngumu na kutosikiliza maneno ya watu wazima,
Tukampa dawa ili angalau asogeze siku za kuishi japo hata miaka 5 lakini naona kama tulimzidishia dozi maana aliinuka kwa sipidi sana na muda mwingne wanandugu tukapata matumaini ya kwamba sasa mgonjwa wetu kapona.
Lakini hata mwaka aujaisha toka tumpe dawa naona ameanza kulegalega kila uchwao sasa sijui kama tutafika nae hiyo miaka mitano au ndio atatufia njiani sijui ila ni maombi tu ndio yanahitajika kwa sasa wananzengo
Migonjwa ya design yake huwa haifi haraka na ina maudhi balaa. Gonjwa bishi hata kwa madaktari, yani hata dawa za kumtibu yeye mwenyewe anataka kujipangia ilihali tiba aijuae yeye ni za tunguri na kupiga ngoma za kupunga majini.nimekuelewa mkuu ila hata sisi ndg wa ndan tumemchoka sana.... afe tu ikiwezekana hata kabla ya io miaka mitano maana kaua uchumi wa familia kila dawa... chakula anataka yy... loooh kibaya zaid wanandg na majirani tukimshaur n mbishiiiii hatusikiliz...
afe tu kwakwel
Alisha sema....Hii thread ni ya kifasihi zaidi
Ngoja wahakiki waje
Haaaaaa Huyu mgonjwa apelekwe Rwanda au Uganda huko kutamfaa kimatiibabuAlisha sema....
Yeye hajaribiwi..[emoji51]
Na akasisitiza, atakae ingia barabarani eti ana andamana September 1, atakiona cha mtema kuni..[emoji13]