Hali ya Mbunge Lema inaendelea vema

Hali ya Mbunge Lema inaendelea vema

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
1,224
Reaction score
512
Mh LEMA bado amelazwa katika hospital ya Aicc ambako amekuwa akitibiwa malaria na typhoid na hivi nimetoka kumuangalia pengine KESHO jumamosi atatoka na ili aweze kuhudhuria Kikao Cha wamasai Kutoka simanjiro
 
Mbunge mzima una lala bila chandarua na una kunywa maji bila kuchemsha jamani????!!!! Get well soon Kamanda!
 
HATA Mimi nimetoka KUKUONA mda si mrefu kamanda anaendea poa.....
Kesho tunategemea kumuona kesho kitaaa.....
 
Mh LEMA bado amelazwa katika hospital ya Aicc ambako amekuwa akitibiwa malaria na typhoid na hivi nimetoka kumuangalia pengine KESHO jumamosi atatoka na ili aweze kuhudhuria Kikao Cha wamasai Kutoka simanjiro
Anawahi kikao cha wamasai?
 
Mbunge mzima una lala bila chandarua na una kunywa maji bila kuchemsha jamani????!!!! Get well soon Kamanda!

Kikwete anaamini kuwa mbu humuuma mtu anapo panda kitandani tu!? Yusuph Manji(Muuza madawa na rafiki mkubwa wa Riz!) aliugua malaria kipindi fulani na akapandwa na kichaa akakimbizwa Nairobi...je nae hana net nyumbani kwake?
...Kwa mtu kama Lema kuugua magonjwa hayo sishangai kabisa kwani muda mwingi yuko ama barabarani, ukumbini, mikoani akikimbizana na majangili, mafisadi, wauza madawa, wang'oa kucha, wauuwaji aka CCM
 
kikwete anaamini kuwa mbu humuuma mtu anapo panda kitandani tu!? Yusuph manji(muuza madawa na rafiki mkubwa wa riz!) aliugua malaria kipindi fulani na akapandwa na kichaa akakimbizwa nairobi...je nae hana net nyumbani kwake?
...kwa mtu kama lema kuugua magonjwa hayo sishangai kabisa kwani muda mwingi yuko ama barabarani, ukumbini, mikoani akikimbizana na majangili, mafisadi, wauza madawa, wang'oa kucha, wauuwaji aka ccm
waambie hawa vilaza wajitambue sisi tunalala mahali popote jioni itakapokukuta
 
Mbunge mzima una lala bila chandarua na una kunywa maji bila kuchemsha jamani????!!!! Get well soon Kamanda!

mnapompeleka rock-up mnampa chandarua.......Lema si mtoto wa mama anayeshinda City garden.... na wachina.... yeye mtu wa field.....GET WELL SOON KAMANDA...
 
Mungu aendelee kumsaidia ili aendelee na jukumu lake la kutetea haki za watanzania
 
1. Malaria huzuiwa kwa chandarua na prophylaxis
2. Typhoid huzuiwa kwa kuchemsha maji ya kunywa, kunawa mikono baada ya kutoka chooni, kula vyakula vilivyoandaliwa kwa ubora
3. Yote juu kwa pamoja huzingatia usafi na umakini juu ya mazingira na vile tulalavyo na kula.

Sasa mtu hupata malaria kama ifuatavyo:
1. Kuumwa na mbu mwenye vimelea vya malaria (plasmodium)
2. Kutokuzuia mbu - mosquito control
3. Kutokuzuia uambukizi kusababisha malaria (Prophylaxis)

Sasa tena mtu hupata typhoid kama ifuatavyo:
1. Kula mavi yenye Salmonela typhi ama kwenye maji, chakula etc
 
Back
Top Bottom