Kama hawana dalili basi hawawezi kuambukiza....according to medical health specialistsKitulize usipeleke Covid 19 nyumbani, hao unaokutana nao hujui wamekutana na kina nani na wana hali gani.##STAYSAFE##
Habari wana JFs MMU.
Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa( kama sijakosea jina).
Mkuu mteule wa rais ni chain tu ya uteuzi, hata Mtendaji wa Kijiji kwa mamlaka ya uteuzi anakuwa mteule wa Rais. Isikushtue.Hongera kwa kuwa mteule wa Rais... Ulipie Tangazo sasa.
Vipi kwa upande wako...tupe ripoti.Huku hali ni nzuri kabisa. Naona corona imekuwa fursa kwako
Calls ni nyingi, wengine nilishawasahau ila ndo hivo nasalimiwaVipi kwa upande wako...tupe ripoti.
Ndio mkuu nimetaja "Wife" nikimanisha "Mke"Hivi kuna mahali umetaja "wife" au nimesoma kwa makengeza!!!
Haki wanawake tuna huruma sana.
Hahahaaa hapana wa huku huku location sijawamaliza huku JF ntawapeleka wapiNaona unawatafuta ke wa jf kimtindo....wanaintelijensia tushalielewa hilo mapema.
Corona imefanya wale wenye wake / waume wanoko kujikuta wanaishi kwenye maisha ya total lockdown isiyo rasmiHabari wana JFs MMU.
Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa( kama sijakosea jina).
Je huko kwako hali ikoje kimapenzi?? Leteni tathmini
Kama una mke mkali Mwajuma ndala ndefu na unatakiwa kutotoka nyumbani ukae na mke humo ndani unaweza kuona ni mateso kiasi gani mtu atapitia.Corona imefanya wale wenye wake / waume wanoko kujikuta wanaishi kwenye maisha ya total lockdown isiyo rasmi
Yaani ataombea corona ije imchukue huyo mume au mkeKama una mke mkali Mwajuma ndala ndefu na unatakiwa kutotoka nyumbani ukae na mke humo ndani unaweza kuona ni mateso kiasi gani mtu atapitia.
Msingekuwa na huruma misuli ingetupasuka kudadekiHivi kuna mahali umetaja "wife" au nimesoma kwa makengeza!!!
Haki wanawake tuna huruma sana.
Hahhaa basi asante kwa Ripoti Extrovert.....hali si nzuri kwako endelea kuchukua tahadhari japo ikuachie uhai wako.COVID 19 ni ya kishwaini mno japo kuna koloni langu limeanza kuntafuta kwa fujo toka juzi...ila kwa sasa hali ya mifuko yangu ina matundu makubwa zaidi ya virusi vya Corona