Hali ya maisha ulaya na marekani ni ngumu

You missed the boat, and now you tryina mess with GOAT
Now you can't float, I got that UZI aiming with a red dot
You step into this uninvited, replying misguided
Imma tap you and whoever armys you indicted
Or inducted, my blow better duck it
For you ain't gonna live once I fling it, and bring it
No bling in it, straight up ding in it
And you will see stars in a KO in the ring with it

Ngoja nilale tu braza, maana naiona dhamiri yako ya dhati kwenye maandishi yako ya sasa ya wewe kukiri udhaifu wako niliohanisha hapo juu.

Nakupongeza kwani ni ushujaa pia. Know thyself is the strength and not a weakness.

Your the man bro!!
 
Nani "braza" wako? Ushaanza kuomba undugu hapa?

Sina "braza" kama wewe.

Ushaaga mara ngapi?

Utalala na viatu leo, hujanionesha kigiriki bado.
 
Mjadala uko wapi?

I'm just giving it to you raw, cats
Gracefully bow, rats
Or imma chow your ass and blast you with a crass mass
To smithereens, you feens
Stomp you chumps
Hit you with that infrared beam, you greens
Make you beg for mercy like I'm your sayyedeen
While I blast you like crazy Mujahedeen

Nilikuwa sahihi kabisaa kutaka kuhoji juu ya uzima wa akili yako mkuu. Sio siri kwa maandishi haya unaelekea kwenye uwendawazimu.

Sasa unashusha rhymes za nini baada ya kuleta hoja zenye logic au ndio defence mechanism yako?

Hapana jaribu kingine mkuu, wewe huko vizuri zaidi na pia ni bora zaidi ya hiki. Usijihadhiri kiasi hiki mkuu. Hapana!!

Haueleweki bali unamangamanga tu hovyo hovyo!!
 
Ushaaga mara ngapi?

Utalala na viatu leo, hujanionesha kigiriki bado.

Ona sasa unaanza kucopy na kupaste hata maandishi yangu ya awali mkuu. Hapa ndio unazidi kuibua hofu kwa watu waliosoma maandishi yetu toka awali.

Hauna jipya unacopy na kupaste. Nimekuweka kwenye kilengeo tayari. Kazi imeisha sasa.

Tabia ni sawa na bonge la barafu, daima likitolewa nje ya friji hujidhihirisha kwamba lina umbo la maji. Na liko hivyo daima dumu. Umejipambua hivyo baada ya kucopy na kupaste maneno yangu.

Kila la kheri kaka.
 
Nimetumia maneno yako mwenyewe. Mukuonesha unavyoshindwa kwa standards zako mwenyewe.

Wewe ndiye uliyeanza kunibeza nitalala na viatu.

Nani analala na viatu kama katoka kwa mama muuza sasa?

Nioneshe Kigiriki nimeandika wapi?

Heri yako ya kinafiki siitaki.
 
Huwezi kuongea kiingereza bila kuongea Kigiriki kama ambavyo huwezi kuongea Kiswahili bila kuongea Kiarabu.

Hata bila kujua.

Check your etymology.

By the way, even "etymology" is Greek derived now that I think about it!

Sasa nina haja gani ya kukuonesha kigiriki kilipo ilhali hata wewe mwenyewe unakiri kwa maandishi yako kwamba kiingereza ni kigiriki?

Unajua braza ukiwa mwongo basi sharti uwe na kumbukumbu!! Umesahau kabisaa tayari ulikwisha sema hili suala hapo awali? Au unatoka lile kabila lileeee la wazee wa kujinadi?

Yaani mpaka nakuonea huruma namna unavyoneng'eneka na kujikanganya mkuu. Anyaways pole sana siku nyingine kuwa halisi usijaribu kufake maisha.

Maskini kiranga!!!
 
Wewe kakojoe ukalale kama ulivyokwishaaga, la utaonekana huheshimu maneno yako na hata muongo.

Ngoma ya wakubwa watoto hawakeshi.

Hujanionesha kigiriki kiko wapi, kiingereza kiko wapi.

Ulipoandika "phonetic" uliandika Kiingereza au Kigiriki?

Nikisema "rais" nimesema Kiswahili au Kiarabu?

Lazima unionee huruma, una utamaduni wa "Mama Huruma" kugawa - ushauri -bila kuombwa.

Lamu na Mombasa utatafunwa mzimamzima.
 
Kutokana na kushuka kwa uchumi kwenye nchi za Ulaya na Marekani, gharama za maisha zimepanda sana. Kupata kazi ya ofisini ni ngumu sana. Hali hii imewafanya wageni wengi kuishi maisha magumu sana. Unakuta msomi mwenye elimu ya masters degree anaishia kufanya kazi za ujira mdogo/vibarua kama kudumia wazee,kufanya usafi,uhudumu wa baa na migahawa n.k.
Napenda kutoa wito kwa vijana watanzania wenye wazo la kwenda Ulaya na Marekani kutafuta maisha waachane nalo kabisa .

Mkuu nakupa big up sana nlikuwa nawaza kuanzisha mada kama hii ningeipa tittle "why crave for shame job in Europe & America".

Kwa kweli ulilosema ni true mnoo, aged care, disability care, cleaning, super mkt check-outs na kupanga box kwenye super mkt ndio low profile jobs n easy to secure. Ila kiukweli ni shida tu, despite of £ au $ unazolipwa..they are Shame jobs. Mlio na ndoto za kwenda majuu mjue kbs unaeza pewa kudeki kwa mop ukubwa wa eka nzima kwa siku

Sent from Mchina
 
Wewe kakojoe ukalale kama ulivyokwishaaga, la utaonekana huheshimu maneno yako na hata muongo.

Ngoma ya wakubwa watoto hawakeshi.

Hujanionesha kigiriki kiko wapi, kiingereza kiko wapi.

Ulipoandika "phonetic" uliandika Kiingereza au Kigiriki?

Nikisema "rais" nimesema Kiswahili au Kiarabu?

Lazima unionee huruma, una utamaduni wa "Mama Huruma" kugawa - ushauri -bila kuombwa.

Lamu na Mombasa utatafunwa mzimamzima.

Mkuu turudi kwenye mada hayo ya mipasho achana nayo, it may delute you long built credibility in Jf

Sent from Mchina
 
Nilikuwa sahihi kabisaa kutaka kuhoji juu ya uzima wa akili yako mkuu. Sio siri kwa maandishi haya unaelekea kwenye uwendawazimu.

Sasa unashusha rhymes za nini baada ya kuleta hoja zenye logic au ndio defence mechanism yako?

Hapana jaribu kingine mkuu, wewe huko vizuri zaidi na pia ni bora zaidi ya hiki. Usijihadhiri kiasi hiki mkuu. Hapana!!

Haueleweki bali unamangamanga tu hovyo hovyo!!

Hoja nishamaliza, umeshindwa kuzijibu.

Nimekuuliza maswali lukuki hujayajibu.

Nani kakuomba ushauri?

Kigiriki kiko wapi?

Nikaona huna hoja, naku murder machete with my flow, my heavy blows, til you kow tow and bow low slow as I mow your glow, friend or foe...
 
Wewe kakojoe ukalale kama ulivyokwishaaga, la utaonekana huheshimu maneno yako na hata muongo.

Ngoma ya wakubwa watoto hawakeshi.

Hujanionesha kigiriki kiko wapi, kiingeteza kiko wapi.

Nikisema "rais" nimesema Kiswahili au Kiarabu?

Lazima unionee huruma, una utamaduni wa "Mama Huruma" kugawa - ushauri -bila kuombwa.

Lamu na Mombasa utatafunwa mzimamzima.

Kweli kuna haja ya kulala hapa, maana kama umeanza na stori za kutaka kunipeleka Lamu na Mombasa...nimeogopa tayari maana sitaki shari wala matata mimi kijana mnyenyekevu na muungwana. Tunakoelekea utanitukania mama yangu mzazi mpendwa nifedheheke na kuhuzunika zaidi.

Zaidi nimefurahi kuona unakiri indirect hata kwa kunitaka nikalale hili upate uhuru wa kupumua hata kidogo na kuzikimbia hoja zenye mashiko tofauti na rhymes zako dhaifu kuliko rhymes za afande selemani msindi.

Waungwana uagana kaka!! Kila la kheri kiranga.
 
Mkuu nakupa big up sana nlikuwa nawaza kuanzisha mada kama hii ningeipa tittle "why crave for shame job in Europe & America".

Kwa kweli ulilosema ni true mnoo, aged care, disability care, cleaning, super mkt check-outs na kupanga box kwenye super mkt ndio low profile jobs n easy to secure. Ila kiukweli ni shida tu, despite of £ au $ unazolipwa..they are Shame jobs. Mlio na ndoto za kwenda majuu mjue kbs unaeza pewa kudeki kwa mop ukubwa wa eka nzima kwa siku

Sent from Mchina

What exactly is so shameful about those kind of jobs? For a couple days now you've been talking about "shame jobs"....mind telling us what's shameful about them?

And where did you get that warped point of view?
 
Mkuu nakupa big up sana nlikuwa nawaza kuanzisha mada kama hii ningeipa tittle "why crave for shame job in Europe & America".

Kwa kweli ulilosema ni true mnoo, aged care, disability care, cleaning, super mkt check-outs na kupanga box kwenye super mkt ndio low profile jobs n easy to secure. Ila kiukweli ni shida tu, despite of £ au $ unazolipwa..they are Shame jobs. Mlio na ndoto za kwenda majuu mjue kbs unaeza pewa kudeki kwa mop ukubwa wa eka nzima kwa siku

Sent from Mchina

I commend your disclaimer.

Kama ushafanya hizi kazi ulaya/ marekani na unazijua ubaya wake unaweza kuwa na point kuwajulisha wengine wanaotaka kuja.

Lakini usi assume kila mtu anataka kuja kufanya kazi hizi.

Na usi assume kila mtu ataziona kazi hizi beneath him / her.

Na usi assume kila mtu hataweza ku rise above kazi hizi.

Namjua mama wa Kijamaica katika kununua nyumba yake ya pili ya zaidi ya $500,000. Alianza kwenye hivi vi nursing homes, akaenda akapiga Associate Degree yake mambo ya afya, sasa hivi ana degree, na akiamua kuacha kazi anaweza, awe landlady full time.

Life is what you make it.

Kuna watu wamechoka kukaa bongo kwa sababu bongo kuna kunyanyapaana tu, kupata kazi ya maana mpaka uhonge au uwe mtoto wa fulani.

Ndiyo maana foreign affairs kumejaa kima Malecela, Sokoine, Mbilinyi, Mongella, you name it. I bet hakuna ubalozi usio na ndugu wa mkubwa dulani. Ukienda interview unaulizwa baba yako nani.

Viwanja kama una talent na drive unaitoa, against all odds.
 
Wabongo mnachuki binafsi kisa hukupata nafasi kwenda marekani. ImageUploadedByJamiiForums1394759644.755013.jpg
 
Mkuu nakupa big up sana nlikuwa nawaza kuanzisha mada kama hii ningeipa tittle "why crave for shame job in Europe & America".

Kwa kweli ulilosema ni true mnoo, aged care, disability care, cleaning, super mkt check-outs na kupanga box kwenye super mkt ndio low profile jobs n easy to secure. Ila kiukweli ni shida tu, despite of £ au $ unazolipwa..they are Shame jobs. Mlio na ndoto za kwenda majuu mjue kbs unaeza pewa kudeki kwa mop ukubwa wa eka nzima kwa siku

Sent from Mchina
Inabidi uwe mtoto wa mjini kukaa Europe au States.
Mara nyingi watu wanaodhani bank teller yupo poa kuliko mbeba taka huwa ni watu ambao siyo exposed.
Huku nilipo kubeba taka ni 76,000/- kwa mwaka kwa dereva.
60,000/- kwa mwaka kwa mbeba taka.
Bank teller ni 27,000/-
Police constable 40,000/- na mwalimu wa middle school 45,000/-
Nurse ni 60,000/-.
Sasa wewe washauri tu vijana wapiganie nafasi za kazi zimamoto .... ni upotevu wa ujana tu.
 
Mkuu nakupa big up sana nlikuwa nawaza kuanzisha mada kama hii ningeipa tittle "why crave for shame job in Europe & America".

Kwa kweli ulilosema ni true mnoo, aged care, disability care, cleaning, super mkt check-outs na kupanga box kwenye super mkt ndio low profile jobs n easy to secure. Ila kiukweli ni shida tu, despite of £ au $ unazolipwa..they are Shame jobs. Mlio na ndoto za kwenda majuu mjue kbs unaeza pewa kudeki kwa mop ukubwa wa eka nzima kwa siku

Sent from Mchina

What is shame job to you??please explain.
 
Hoja nishamaliza, umeshindwa kuzijibu.

Nimekuuliza maswali lukuki hujayajibu.

Nani kakuomba ushauri?

Kigiriki kiko wapi?

Nikaona huna hoja, naku murder machete with my flow, my heavy blows, til you kow tow and bow low slow as I mow your glow, friend or foe...

Yale yale hakuna logic wala concept muhimu bali mistari ya mipasho mwanzo hadi mwisho kama khadija kopa au selemani msindi.

Cmoon bro!! Your better than this shiat. I told you previuosly that u can realy keep it classy and not as trashy as this.

Imbecillic!!
 
Logic yako mpaka hapa ni nini?

Umesema naandika Kigiriki, umeshindwa kunionesha wapi.

Umesema unaenda kukojoa ukalale bedtime yako imefika, huwezi hata kufuata maneno yako mwenyewe.

Unaweza kujua logic ni nini?
 
Unajua credibility yako ni kubwa saana humu JF kiranga!!

Ni heri ukae kimya, maana hata kimya kinaweza kuwa jibu kuliko kujiexpose weakness zako hadharani kwa mipasho isiyo na tija.

Halafu tangu majuu walegalize marijuana, nimekuwa sikuelewi mkuu? Are you smooking that shiat? Aha aha aha!!

Am done with you dude!! Bt waungwana hutakiana heri, mimi nakutakia kila la kheri tafadhali naomba unitakie kheri pia!! Nasubiri kaka.
 
Back
Top Bottom