Hali ya maisha ulaya na marekani ni ngumu

Hali ya maisha ulaya na marekani ni ngumu

Inabidi uwe mtoto wa mjini kukaa Europe au States.
Mara nyingi watu wanaodhani bank teller yupo poa kuliko mbeba taka huwa ni watu ambao siyo exposed.
Huku nilipo kubeba taka ni 76,000/- kwa mwaka kwa dereva.
60,000/- kwa mwaka kwa mbeba taka.
Bank teller ni 27,000/-
Police constable 40,000/- na mwalimu wa middle school 45,000/-
Nurse ni 60,000/-.
Sasa wewe washauri tu vijana wapiganie nafasi za kazi zimamoto .... ni upotevu wa ujana tu.

Wabongo wengi concepts mbili bado sana kuzielewa, ndiyo maana hata tunaweza kupigishana nao kelele sana hapa. Na unaweza kukuta mtu anauliza "mtu mwenye degree ya such and such mshahara wake kiasi gani? "

1. Market Economy
2. Utility

Tutazijua vipi (especially kama hatujatoka bongo) wakati hiyo Market Economy imeanza kuwa introduced slowly enzi ya Mwinyi na mpaka sasa haijaota mizizi bado?

Ukielewa hizo mbili unaweza kuelewa kwa nini mbeba taka anaweza kumake mingle kubwa kuliko bank teller.

Nilivyokuja US nikawa naongea na kidada kimoja cha kizungu, kidogo, kizuri, hip. Black liptick gothic hip. Hata college hakijaanza. Nikakiuliza the typical icebreaking questions that are considered safe in their society. "What do you want to be when you choose a career?". Akasema "A sanitation worker". Ilibidi nichukue dakika nzima kumuangalia kama ananitania au yuko serious. Baadaye nikagundua yuko serious. She was into the environment, hip but kinda gothic so I could see a side of her choosing an nonconventional career like that.

This career choice would probably give her the best of both worlds. She would get paid well without laboring long years in school (by your figures, she would need to earn a Ph. D in Chemistry to make around $ 76,0000) . That's at least 10 yers in college alone. Now what if she could earn the same, skip college, pursue her gothic band dreams and save the earth?

Wabongo bado hatuna uhuru wa kufikiri kama hivyo.
 
Kweli kuna haja ya kulala hapa, maana kama umeanza na stori za kutaka kunipeleka Lamu na Mombasa...nimeogopa tayari maana sitaki shari wala matata mimi kijana mnyenyekevu na muungwana. Tunakoelekea utanitukania mama yangu mzazi mpendwa nifedheheke na kuhuzunika zaidi.

Zaidi nimefurahi kuona unakiri indirect hata kwa kunitaka nikalale hili upate uhuru wa kupumua hata kidogo na kuzikimbia hoja zenye mashiko tofauti na rhymes zako dhaifu kuliko rhymes za afande selemani msindi.

Waungwana uagana kaka!! Kila la kheri kiranga.

Unaongelea Lamu, Mombasa na "kupumua" hiyo ni code word.

Mimi straight, kama unataka nikupumulie, huko siko.

I only do women and girls of age, fly girls at that.
 
Unajua credibility yako ni kubwa saana humu JF kiranga!!

Ni heri ukae kimya, maana hata kimya kinaweza kuwa jibu kuliko kujiexpose weakness zako hadharani kwa mipasho isiyo na tija.

Halafu tangu majuu walegalize marijuana, nimekuwa sikuelewi mkuu? Are you smooking that shiat? Aha aha aha!!

Am done with you dude!! Bt waungwana hutakiana heri, mimi nakutakia kila la kheri tafadhali naomba unitakie kheri pia!! Nasubiri kaka.

Credibility yangu kubwa kwa kisa gani?

Anayefikiri credibility yangu kubwa, automatically hana credibility.

I will immediately reject any accolade afforded me, because it will only serve as a yoke to my freethinking ways.

Kazini kwangu kuna random drug tests, I don't even dream about being in an apartment that that shyt was smoked six months ago. If I want a toke I come to Dar, and smoke some Arusha shyt, at Oysterbay Police nonetheless.

You keep.saying you ate done.with me but keep coming back to suck on this long pole like a bad biatch who is mad but just can't swallow enough of my potential future kids.

Kama ungejua uungwana ungeniomba radhi kwa kunishutumu kuandika Kigiriki bila.kuweza kuthibitisha ni wapi nimeandika hivyo.

Don't start with me, I don't do it, I overdo it.

Biaatch.
 
Unaongelea Lamu, Mombasa na "kupumua" hiyo ni code word.

Mimi straight, kama unataka nikupumulie, huko siko.

I only do women and girls of age, fly girls at that.

Waswahili tuna misemo mingi sana ya kujihakiki na kujidhatiti, walisema kwamba mwendawazimu anapokwapua nguo zako ukiwa unakoga baharini na kutimua nazo mbio, ukimfukuza watu wanaweza wasipate tofauti ya nani ni mwehu? mkimbizaji au mkimbizwaji?

Hapana nina haja ya kukutizama utimue mbio mwenyewe ili udhihirishe uwendawazimu wako ukiwa mwenyewe.

Nilisema nitakulaza na viatu na poem zako unaona sasa unaanza kuporomosha matusi baada ya kutandaza hoja za mada husika...tayari ushalala na viatu kiranga.

Ila ukikubali kukosolewa na kurekebisha mapungufu yako madogo you are absolutely brilliant, smart, intellectual and genius.

Ndio maana hata kama tunatofautiana mitazamo na mawazo bado nalikes kile makini unachowasilisha na haiondoi ukweli kwamba tunapendana na kuheshimiana sasa unapoporomosha na matusi ndio unaharibu kabisa kaka.

Kwa mara nyingine tena nakutakia kila la kheri mkuu, naomba na wewe pia unitakie kila la kheri na kunitaka radhi kwa matusi hayo hapo juu kama hautojalj lakini.

Don't worry i'll wait bro!!
 
Wabongo wengi concepts mbili bado sana kuzielewa, ndiyo maana hata tunaweza kupigishana nao kelele sana hapa. Na unaweza kukuta mtu anauliza "mtu mwenye degree ya such and such mshahara wake kiasi gani? "

1. Market Economy
2. Utility

Ukielewa hizo mbili unaweza kuelewa kwa nini mbeba taka anaweza kumake mingle kubwa kuliko bank teller.

Nilivyokuja US nikawa naongea na kidada kimoja cha kizungu, kidogo, kizuri, hip. Black liptick gothic hip. Hata college hakijaanza. Nikakiuliza the typical icebreaking questions that are considered safe in their society. "What do you want to be when you choose a career?". Akasema "A sanitation worker". Ilibidi nichukue dakika nzima kumuangalia kama ananitania au yuko serious. Baadaye nikagundua yuko serious. She was into the environment, hip but kinda gothic so I could see a side of her choosing an nonconventional career like that.

This career choice would probably give her the best of both worlds. She would get paid well without laboring long years in school ( by your figures, she would need to.earn a Ph. D in Chemistry to make around $ 76,0000) . That's at least 10 yers in college alone. Now what id she coulda earn the same, skip college, pursue her gothic band dreams and save the earth?

Wabongo bado hatuna uhuru wa kufikiri kama hivyo.
Wabeba taka wapo unionized na nikazi za wazungu tu kwa baadhi ya States. Mtu mweusi kuzipata ni kazi sana na huwa lazima uwe haz-mat certified.
Waste management is a multi-billion dollar industry, wapo insured very well with a lot of benefits. Bahati nzuri nilibahatika kuiona show ya "The Rock" ... ITV zamani ilikuwa inarushwa, about a garbage man with a family, na mdogo wake mwanamuziki wa jazz mdandiaji ambaye baadae alikuja kuwa jamaa wa "living single" (The light skin dude) Tangu hapo nilijifunza kuwa kuna kazi za aina nyingi duniani, na unaweza kuishi a decent life doing dirty jobs.... as long as ujima uuondoe kichwani mwako.

All in all, ni mawazo finyu ambayo ni watoto wa mjini ndiyo angalau wanaweza kuelewa, na nikisema watoto wa mjini sizungumzii hivi vizazi vya siku hizi ambapo mjini tumejazana na watu wengine ambao hata kumtoa girlfriend wake kwenda theater ni majanga kutwa kushinda bars za vichochoroni ..... no avalon,empress,empire, odeon, cameo, starlight etc ..wanaona ni mambo ya kizamani eti kwa sababu kuna tv za EPL na tamthilia.


It's kinda sad, but I do understand.
 
Wabeba taka wapo unionized na nikazi za wazungu ktu kwa baadhi ya States. Mtu mweusi kuzipata ni kazi sana na huwa lazima uwe haz-mat certified.
Waste management is a multi-billion dollar industry, wapo insured very well with a lot of benefits. Bahati nzuri nilibahatika kuiona show ya "The Rock" ... ITV zamani ilikuwa inarushwa, about a garbage mkan with a family, na mdogo wake mwanamuziki wa jazz mdandiaji ambaye baadae alikuja kuwa jamaa wa living single (The light skin dude) Tangu hapo nilijifunza kuwa kuna kazi za aina nyingi duniani, na unaweza kuishi a decent life doing dirty jobs.... as long as ujima uuondoe kichwani mwako.

All in all, ni mawazo finyu ambayo ni watoto wa mjini ndiyo angalau wanaweza kuelewa, na nikisema watoto wa mjini sizungumzii hivi vizazi vya siku hizi ambapo mjini tumejazana na watu wengine ambao hata kumtoa girlfriend wake kwenda theater ni majanga kutwa kushinda bars za vichochoroni ..... no avalon,empress,empire, odeon, cameo, starloight etc ..wanaona ni mambo ya kizamani eti kwa sababu kuna tv za EPL na tamthilia.


It's kinda sad, but I do understand.

Duh,

Umenikumbusha "The Rock" mazee? Juzi hapa nilimuona yule kaka (Charles S. Dutton) mbeba taka kwenye movie/ show gani sijui. Nikasema "I have been meaning to rent this show from Netflix/ look it up on Amazon for the longest". Muda huo ndiyo Mengi anatufungua macho bongo en masse (kwa wale ambao hawakupata tapes za Cosby Show, 227, MTV etc kutoka nje)

Katika hizo concept mbili nilizozitaja hapo juu kuna moja nyingine bado.

3. Basic Human Rights.

Kuna movie moja nilikuwa naangalia zamaani bongo, mdada nurse ana gari yake, nyekundu two doors, ki apartment chake fresh. Basi iliniumiza akili sana. Nikawa najiuliza, huyu dada mdogo tu, nurse tu ana apartment yake na gari lake. Nilikuwa nafikiri ki nurse wa bongo bongo. Iliniwia vigumu kuelewa.

Mambo mengine kuyaelewa mpaka uishi kiwanja, hata kama unaangalia TV na kusoma magazeti, kwani hata mimi nilikuwa naangalia CNN na kusoma magazeti yao kwa muda. Bado sikuelewa chumi zao zinaendaje.

Ndiyo maana nasisitiza, anayeponda kiwanja at least awe kashaishi kwa zaidi ya miaka mitano.

Sio unasikia tu habari, hujawahi hata kwenda Yombo hapo kusindikiza kaka anaondoka, unakuja study tour miezi mitatu kiwanja, au unakuja lakini uko mazingira ya shule tu hujajichanganya kujua mitkas, unakandya.

Mnaokandya kiwanja kama mpo bado, mkizidiwa sana I got an empty condo in Jersey, middle class hood too, no sirens muwe tayari kufanya kazi na kulipa rent within one month tu.
 
Waswahili tuna misemo mingi sana ya kujihakiki na kujidhatiti, walisema kwamba mwendawazimu anapokwapua nguo zako ukiwa unakoga baharini na kutimua nazo mbio, ukimfukuza watu wanaweza wasipate tofauti ya nani ni mwehu? mkimbizaji au mkimbizwaji?

Hapana nina haja ya kukutizama utimue mbio mwenyewe ili udhihirishe uwendawazimu wako ukiwa mwenyewe.

Nilisema nitakulaza na viatu na poem zako unaona sasa unaanza kuporomosha matusi baada ya kutandaza hoja za mada husika...tayari ushalala na viatu kiranga.

Ila ukikubali kukosolewa na kurekebisha mapungufu yako madogo you are absolutely brilliant, smart, intellectual and genius.

Ndio maana hata kama tunatofautiana mitazamo na mawazo bado nalikes kile makini unachowasilisha na haiondoi ukweli kwamba tunapendana na kuheshimiana sasa unapoporomosha na matusi ndio unaharibu kabisa kaka.

Kwa mara nyingine tena nakutakia kila la kheri mkuu, naomba na wewe pia unitakie kila la kheri na kunitaka radhi kwa matusi hayo hapo juu kama hautojalj lakini.

Don't worry i'll wait bro!!

Wakuja na mbio za mwenge usijiite Mswahili wewe, unadhalilisha Uswahili. Wewe ukiwa Mswahili na Balozi Mwalimu Alhaji Rais mstaafu Mwinyi awe nani?

Sheesh, Mwinyi? I will just give you Balozi Maharage for now.

Unasema mimi mwendawazimu, kumkimbiza mwendawazimu ni uwendawazimu pia, halafu wewe unanikimbiza mimi (kwa kunijibu hapa JF)!.

Nani mwendawazimu sasa?

Mimi unayenisema mwendawazimu au wewe unayekimbizana na mtu unayemjua kuwa ni mwendawazimu?

You just love to give them long strokes on my anaconda pole huh?

Ustaarabu wako unaweza kuwa kitu nilicho reje tangu 1993!

Ndiyo maana habari unazoon natural, kama ku offer ushauri sehemu ambayo hujaombwa, mimi nazicheka tu.

So quaint and last century if not industrial era gentlemanly altogether.
 
Mkuu Kiranga hapo kwenye Red English Course ulisoma wapi?

But these leagues are not for the average Joe and Johnie-come-lately, this is for seasoned battle scarred Shoguns whose track records includes triumphing all sorts of ignorant imbroglios and invidious insipid illogic from invertebrate invalids and various vogon venom via vulgar vomit from vacuous venerable vice-presidents.

You feel me?

Hiyo inaitwa vvvvvvvvvvvvv style
 
Pole sana ndug ,sana ndugu sikuwa namaanisha hivyo ulivyo vikiri maana ilikuwa kama utakuwana bahati unaweza fanikiwa. Jaribu kupanua wigo wakufikiri neno moja lawezakuwa na maana kumi.
 
Kama wana diaspora wenyewe ndio hawa mpaka leo bado wanaamini habari za "nyota yako" basi unachosema ni what I call "a self fulfilling prophecy".

Nilitegemea mambo ya kuamini "nyota yako" tuwe tunayaacha kipande cha Mlingotini, kumbe mtu anaenda Germany bado anaongelea habari za "nyota yako".

Nchi za watu kwa outlook kama hiyo lazima maisha yawe magumu kama wanavyodai.

Na yakiwa magumu badala ya kuangalia umeharibu wapi, ndiyo kwanza unaweza kuanza kuwapigia watu simu bongo wakutafutie fundi wa "kukusafishia nyota".

Pole sana jaribu kuwa na wigo mpana wa kufikiri.neno moja laweza kuwa na maana miamoja.Pole sana.
 
Maisha ni magumu ila wagumu watadumu. Over.
 
What is shame job to you??please explain.

Kwanza sorry kwa kutoa comment na kutokomea ni vile schedule ya kazi yangu friday huwa mbaya.

Kwanza mpk hizo kazi zikaitea shame jobs ni kwa sababu ni group fulani la watu ndio wanaonekana kuzifanya zaidi mfano wasio na visa na pia ufanyikaji wake ni kutumia misuli na mazingira harshy kama kuosha wazee mara wamejisaidia kwenye pampers, kukaa na vichaa au walemavu all the time na nyingine nyingi ofcoz ni kazi ambazo hata humu ndani wako wanaofanya lakini kamwe hawezi sema kwa vile ni 'shame job'. Hilo ni wazi hata nikipingwa, kufagia barabara kudeki korido kuosha vyoo ni baadhi ya kazi ambazo mtu huyu huyu anaefanya ulaya hawezi fanya Tz na hataki watu wajue, kwa nini??

Wengi walio ulaya na amerika ndio kazi zao hizo ama anaweza kuwa kapanda cheo kidogo kuwa nesi, mlinzi ama dreva tax at least hizo zina hadhi. Kwa nini kama sio shame job watu hata mkutane huko majuu kujitambulisha kazi yake ni nongwa?

Heri nibaki bongo na TGS scale yangu ya ualimu 425,000/= kwa mwezi kuliko kwenda ulaya kufanya shame job


Sent from Mchina
 
Inabidi uwe mtoto wa mjini kukaa Europe au States.
Mara nyingi watu wanaodhani bank teller yupo poa kuliko mbeba taka huwa ni watu ambao siyo exposed.
Huku nilipo kubeba taka ni 76,000/- kwa mwaka kwa dereva.
60,000/- kwa mwaka kwa mbeba taka.
Bank teller ni 27,000/-
Police constable 40,000/- na mwalimu wa middle school 45,000/-
Nurse ni 60,000/-.
Sasa wewe washauri tu vijana wapiganie nafasi za kazi zimamoto .... ni upotevu wa ujana tu.

Hizo figure ni Tsh, Bhati, Rupees, $, £? Pole mkuu kama nimekukwaza lakini ndio ivyo kwa jinsi waTz ambavyo tunapenda sifa utapiga usafi kudeki eneo ka uwanja wa mpira kwa siku then mtu ananunua range rover akishuka tz..to mantain status ya kuwa abroad. Mi heri nikae tu nde mgaya sida be kuosha vyoo siwesi


Sent from Mchina
 
yaani hata unadi vipi mtoa mada watu hawawezi kukuelewa kwmba developed country kuna maisha magumu.
 
Msomi una degree mbili moja ya Art History nyingine ya American Civil War History unategemea nini?

Kuna watu mtasema uchumi mbovu wao tayari wana nyumba saba NYC wamepangisha immigrants wanaowalipia mortgage na kubakisha cha juu.

Mtu kama huyo hata akifanya kazi anafanya kwa kupenda tu.

Usifikiri kila mtu aliyepo kiwanja anaendekeza "kufanya kazi". Kuna wengine ma trust fund babies humu, google that.

Na hata wanaofanya kazi wengine kwa taaluma zao zilivyo in high demand wanaweza kufanya kazi kwa miezi sita na kuchukua likizo isiyo malipo miezi sita mingine.

Kama mmezoea kuona wabongo wanafanya nursing homes - which I am not knocking, Ujamaa na utamaduni wetu umetufundisha kuheshimu kazi yoyote halali- msifikiri kila mbongo aliyeko nje anahangaika kwenye hizo kazi.

But these leagues are not for the average Joe and Johnie-come-lately, this is for seasoned battle scarred Shoguns whose track records includes triumphing all sorts of ignorant imbroglios and invidious insipid illogic from invertebrate invalids and various vogon venom via vulgar vomit from vacuous venerable vice-presidents.

You feel me?
Hiyo adjective ya vice-presidents kali duu, yaani paragraph mzima
 
yaani hata unadi vipi mtoa mada watu hawawezi kukuelewa kwmba developed country kuna maisha magumu.

Umeona eh Mndengereko? Imebaki jina tu kuishi mtoni kwa watu wengi. Wengine wametokamo kuna jamaa anaitwa Joseph Masika mzee mmoja diaspora mveteran anagombea Lagislative council state moja hivii huyu yuko safi naimani wengine pia hata wasiokulikana pia wana fanya good ila WENGI aaagh ni wale wale tu kwenye kazi zileee😋😋😋


Sent from Mchina
 
Last edited by a moderator:
Umeona eh Mndengereko? Imebaki jina tu kuishi mtoni kwa watu wengi. Wengine wametokamo kuna jamaa anaitwa Joseph Masika mzee mmoja diaspora mveteran anagombea Lagislative council state moja hivii huyu yuko safi naimani wengine pia hata wasiokulikana pia wana fanya good ila WENGI aaagh ni wale wale tu kwenye kazi zileee




Sent from Mchina

thats a bit rich coming from you
 
Huu uzi upo kuelimisha uhalisia wa maisha ya ulaya kwa sasa. mijitu inabishania uandishi na misamiati,
 
Back
Top Bottom