Hali ya maisha ulaya na marekani ni ngumu

Hali ya maisha ulaya na marekani ni ngumu

Aha aha aha!! Kila la kheri na darasa la kilingala bw kiranga ila ukija na maneno magumu ya mchanganyiko wa shikomor na french then utuambie ni Lingala haitakuwa sawa.

Wanasema " beauty is in the eyes of the beholder" binafsi nakutazama kama fundi wa kiingereza pindi unapotumia maneno ambayo sio misamiati migumu sentensi zote na kueleweka uzuri ila nakuvuaga vyeo vyote unapotumia bombastic kukoga wanajamvi.

Ikumbukwe dhumuni la lugha ni mawasiliano na kuelewana na sio kuchanganyana. Phonetic alphabet za alpha, delta, sierra, foxtrot, zulu n.k za kijeshi ndio mawasiliano yenye lengo la kukanganya na kuwakoga wengine ila sio lugha za kawaida kaka.

Sawa kaka kiranga!

Hujajibu maswali yangu.

Kuniambia natumia kigiriki bila kunionesha ni neno lipi la kigiriki si tu ni kunikosea heshima mimi, bali pia ni kuwafanya wanajamvi wote wajinga.

Pia hujajibu swali langu la etymology ya maneno ya Kiingereza kwenye Kigiriki kuwa sawa na etymology ya maneno ya Kiswahili kwenye Kiarabu.

Kama unataka twende kwa strict etymology, ukishaandika "phonetic" na wewe umetohoa kwenye kigiriki hapo, neno halina mzizi wa Kiingereza hilo.

http://dictionary.reference.com/browse/phonetic?s=t

Origin:
1820&#8211;30; < Neo-Latin ph&#333;n&#275;ticus < Greek ph&#333;n&#275;tikós vocal, equivalent to ph&#333;n&#275;t ( ós ) to be spoken (verbidof ph&#333;neîn to speak) + -ikos -ic

Nikikwambia na wewe hujaandika Kiingereza umeandika Kigiriki utakubali?

Unaona sasa habari yako ya "Kigiriki" inavyokuwa ngumu?

Huwezi kusema natumia bombastic kukoga wanajamvi wakati hata hatujakubaliana bombastic ni nini na mimi hadhira yangu ni ipi, au hata kama nina hadhira.

Unazungumzia habari za phonetic alphabet katika lugha ambayo George Bernard Shaw of all people, kashatuambia is hopelessly irredeemable when it comes to being eloquent phonetically.

Unajua unachokiandika? Phonetic eloquence kwenye Kiingereza?

Wewe unaweza kusema nawakoga, wengine wakashukuru kwa kuwatambulisha kwa maneno fulani ambayo hawakuyajua.

Different strokes for different fols.

Do you, and let me do me.
 
Huwezi kuongea kiingereza bila kuongea Kigiriki kama ambavyo huwezi kuongea Kiswahili bila kuongea Kiarabu.

Sasa swali lako la kunitaka kuonyesha neno la kigiriki kwenye sentensi yako linapata wapi mashiko wakati tayari ushahitimisha kwa maandishi yako hapo juu ndg kiranga.

Relax bro!! Just keep it classy and not trashy.
 
Swali ni valid kwa sababu ulikuwa hujakubali dhana yangu, ukiikubali naliondoa swali.

Mimi nime relax, you are the one barking up the wrong tree.

And if I keep it trashy, and you are all up in my grill, what does that make you?

I don't have to take civilization rules from your holier-than-thou attitudes.

Jadili mambo, umeulizwa kigiriki kiko wapi, umeshindwa kukionesha.

Kama wewe kweli ni "classy", watu classy wakikosolewa wanakubali kukosolewa na kushukuru.

Ama nioneshe kigiriki kipo wapi, ama kubali umekosea kusema nimeandika kigiriki.

Na ukishindwa kufanya vyote, huna moral authority ya ku lord it over me on account of "keep it classy".

You will not be keeping it classy yourself to begin with.
 
Kwani yote haya yanayoka wapi mkuu? Mimi nilikuwa natoa tu ushauri kwako kwamba unapendeza zaidi na kusound smart, sophisticated and well displined with intellectual curiosity kama utatumia kiingereza murua kinachoeleweka na wengi mbali na hiyo misamiati migumu kwenye kila sentensi inatufanya tukuone kama unaetaka kuonekana mjuaji zaidi na ulielimbuka na lugha. Binafsi nimmekiri awali kwamba mimi ni miongoni mwa mashabiki wako pale tu unapotumia lugha kwa dhumuni la kutaka kufikisha ujumbe na kuonesha sanaa maridhawa.

Kwenye kigiriki bila shaka ni chaka tu ambalo unataka kujifichiamo kutwist mada ila leo lazima ukubali udhaifu huu, vinginevyo nitakulaza na viatu kwa uchovu wa kufikiri kutwist mada mkubwa. Aha ha aha!!
 
Nilikuambia kwamba nahitaji ushauri wako au kimbelembele tu?

Nilikwambia kwamba nataka ku sound smart?

Nilikwambia nataka "kiingereza murua", whatever the heck that is?

Nilikwambia kwamba nataka kueleweka na wengi?

Hujanionesha wapi nimeandika kigiriki, inaonekana umepandikiza tu maneno ambayo hayapo.

Kati yangu ninayekwambia nioneshe kigiriki kiko wapi tujue ukweli, na wewe uliyesema nimeandika kigiriki lakini huwezi kutuonesha wapi, nani ana twist maneno hapa?
 
Uungwana ni vitendo mkuu!! Ukiona mtu anakengeuka kuna haja ya kupeleka ushauri hapo bila hata kuombwa ili kunusuru mashabiki wake tusibadili uelekeo. Ila kama wewe unasema ni kimbelembele basi bila shaka utakuwa umefeli kutafsiri mawazo yangu ya kiungwana.

Nilisema mimi kwamba leo nitakulaza na viatu kama hautokiri udhaifu wako huo ambao mimi sihufurahii na wengi hawafurahii kuendesha mazungumzo kwa dhumuni mashindano na kukomoana kwa misamiati kama watoto wa form one kwenye "debates" za interschool bali kwa hoja thabiti zilizopangiliwa katika ruwaza sahihi na zenye mashiko.

Acha kutoka povu na kurusha mate kwa kuambiwa ukweli...legeza mwili, kubali udhaifu wako then utajua hata uimara wako huko wapi na hautoweza kuboa mashabiki wako wengi tu humu ndani. Hata kukibali pia udhaifu kunaweza kuwa ushujaa.

Be a man and do something bro!!
 
Uungwana pia ni kuheshimu uhuru wa mwingine kufanya anavyotaka.

Wewe unayejinadi kwa uungwana wakati uungwana mdogo tu wa kukubali kwamba umedai kwamba nimeandika Kigiriki, nikakuambia unioneshe ni wapi, ukashindwa, nikakiutaka uniombe radhi, ukashindwa.

Bado una mshipa wa kusema uungwana ni vitendo? Kwa uungwana gani ulio nao mnafiki mkubwa wewe?

Nilisema mimi kwamba leo nitakulaza na viatu kama hautokiri udhaifu wako huo ambao mimi sihufurahii na wengi hawafurahii kuendesha mazungumzo kwa dhumuni mashindano na kukomoana kwa misamiati kama watoto wa form one kwenye "debates" za interschool bali kwa hoja thabiti zilizopangiliwa katika ruwaza sahihi na zenye mashiko.

Kabla ya kunionesha wapi nimeandika Kigiriki, au kuniomba msamaha kwa kusema hivyo wakati sijaandika, atakayelazwa na viatu hapa ni wewe, si mimi.

Acha kutoka povu na kurusha mate kwa kuambiwa ukweli...legeza mwili, kubali udhaifu wako then utajua hata uimara wako huko wapi na hautoweza kuboa mashabiki wako wengi tu humu ndani. Hata kukibali pia udhaifu kunaweza kuwa ushujaa.

Povu likiniona mie lenyewe linatoka povu kama Heinekein iliyomiminwa kwa vurugu.

Hujajibu maswali.

Nilikuomba ushauri au unajishobokea tu? Hicho Kigiriki unachosema nimeandika kiko wapi?

Be a man and do something bro!!

I am schooling you kwamba kama huko madongokuinama ulikotoka unaweza kumvaa mtu tu na kumpa ushauri bila kuombwa, unaweza kufika viwanja vingine watu wakaona umewaingilia anga zao bila taarifa, wakakupiga risasi halafu wakashinda kwa defense ya "this guy was trespassing my property".

Sio kila mtu anataka your stinking ushauri.

Unajuaje kwamba una qualifications za kunishauri mimi?
 
Uungwana ni vitendo mkuu!! Ukiona mtu anakengeuka kuna haja ya kupeleka ushauri hapo bila hata kuombwa ili kunusuru mashabiki wake tusibadili uelekeo. Ila kama wewe unasema ni kimbelembele basi bila shaka utakuwa umefeli kutafsiri mawazo yangu ya kiungwana.

Nilisema mimi kwamba leo nitakulaza na viatu kama hautokiri udhaifu wako huo ambao mimi sihufurahii na wengi hawafurahii kuendesha mazungumzo kwa dhumuni mashindano na kukomoana kwa misamiati kama watoto wa form one kwenye "debates" za interschool bali kwa hoja thabiti zilizopangiliwa katika ruwaza sahihi na zenye mashiko.

Acha kutoka povu na kurusha mate kwa kuambiwa ukweli...legeza mwili, kubali udhaifu wako then utajua hata uimara wako huko wapi na hautoweza kuboa mashabiki wako wengi tu humu ndani. Hata kukibali pia udhaifu kunaweza kuwa ushujaa.

Be a man and do something bro!!
Kama mmefikia hapa, achana na huyu mtu!!
 
Usifikiri kila mtu aliyepo kiwanja anaendekeza "kufanya kazi". Kuna wengine ma trust fund babies humu, google that.

Watu huwa wanadhani kila aliyeko kiwanja basi lazima hali ngumu ya kiuchumi ndo itakuwa ilimfanya aende huko. Wanashindwa kuelewa kuwa wengine hali nzuri za kiuchumi ndo zilizowapeleka viwanja na wengine ndo zinazowafanya wa-survive wakiwa huko.

Wengine ma trust fund babies ambao kwao wamezaliwa peke yao, no siblings.

Kama mmezoea kuona wabongo wanafanya nursing homes - which I am not knocking, Ujamaa na utamaduni wetu umetufundisha kuheshimu kazi yoyote halali- msifikiri kila mbongo aliyeko nje anahangaika kwenye hizo kazi.

Hmm lakini ukisoma maoni ya baadhi ya watu humu huwa wanaziponda sana hizo kazi jambo ambalo kwa kweli mpaka kesho mimi sitalielewa.
 
Ulaya na Marekani, ndiko wawazako waafrika. Hatimaye tutasahau uafrika wetu, utu wetu, kujaliana, kisa tunawaza ki ulaya ulaya, tunang'ang'ania ulaya hata kama maisha ni magumu! Kwetu ni kwao kwa nini na kwao ni kwetu kwa nini?

Uafrika mbona hata Magogoni ushasahaulika watu wanauza nchi, wanapiga ma suti ya Savile Row na kuendesha ma benz na ma BMW.

Ondoa hivyo vitu magogoni, jitoe kwenye internet ya wamagharibi, anzisha vitu vyako vya kiafrika, halafu niambie niache habari za ulaya na Marekani nirudie uafrika.

Hapo nitakusikia.

Sio unakandya Umarekani na U ulaya wakati kuanzia nguo ulizovaa mpaka computer/ simu unayotumia vimebuniwa huko ulaya na Marekani?

Unafiki mtupu.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Naweza kukaa mtoni nikaishi maisha ya Kiafrika zaidi ya mtu anayekaa Dar.

Acheni ujinga wa ku dumb down mambo.
 
Kama mmefikia hapa, achana na huyu mtu!!

Shouldn't have started it in the first place.
Or for war he better brace
I'm cut from a different cloth
Cooked from a different broth
I slay the sloth move forth with force like a boss
Keep your advice, it's stinking gross
I'm nice, bringing salvation like the cross
Can't rate a certified platinum piece with your silver moss
 
Mkuu haya wala hayatakusaidia. Kwa heri ngoja nibaki na 'stinking advice' yangu.
 
Mkuu haya wala hayatakusaidia. Kwa heri ngoja nibaki na 'stinking advice' yangu.

Aha aha aha!! Umenifurahisha sana mkuu, baada ya wewe kutotaka maneno na kueleza kauli ya kiungwana kabisaa kwamba " Mkuu haya wala hayatakusaidia"

Unajua unaweza kusoma maandishi ya mtu na kuyapa sauti yake kulingana na yalivyowasilishwa ukatambua ustarabu na uungwana wake. Hongera bhululu kwa kutotaka shari mkuu.
 
Mkuu haya wala hayatakusaidia. Kwa heri ngoja nibaki na 'stinking advice' yangu.

You missed the boat, and now you tryina mess with GOAT
Now you can't float, I got that UZI aiming with a red dot
You step into this uninvited, replying misguided
Imma tap you and whoever armys you indicted
Or inducted, my blow better duck it
For you ain't gonna live once I fling it, and bring it
No bling in it, straight up ding in it
And you will see stars in a KO in the ring with it
 
I rhyme and deliver, while you shiver and quiver
Up in here, consider me a lawgiver
Judge or legislator
Don't turn me to budge, I go helter skelter
I bring you that diaspora flavor from afar like a pelter
And this flavor gots no misbehavior
Once again keep your advice, cuz I'm heavier

Can I kick it?
 
Shouldn't have started it in the first place.
Or for war he better brace
I'm cut from a different cloth
Cooked from a different broth
I slay the sloth move forth with force like a boss
Keep your advice, it's stinking gross
I'm nice, bringing salvation like the cross
Can't rate a certified platinum piece with your silver moss

Kwa haya maneno yako mkuu kiranga, nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako maana unacopy na kupaste mistari ya jay z na kuweka hapa jamvini.

Ngoja nikuache maana naona sio siri unatoka povu kwa suala dogo tu mkuu na nakuona unataka kuturn into capslock iwe online cold war behind keyboard.

Relax bro!! No disrepect and no fight tonight...its all good here. We are brothers.
 
Akili ya mtu ni ya mtu tu, kama anaenda ulaya kudeki vyoo achomoke akiwa bongo hatofanya kazi kubwa tofauti na low jobs nyingine tu kupata hela, mbona kuna wabongo wengi wanafanya kazi za kueleweka tu na wana maisha mazuri ulaya, Kama bwana Njuwa alivosema hapo juu, masters ya Art, history hizo utasumbuka lakini wapo watu kwenye sector kama za engineerin vile hua hawalali ovyo.. Afu unataka mchomoko basi kua competitive, nje ni sehemu ukipatumia vizuri mfano kama ni kusoma ukakomaa kwelikweli basi unatoka kimaisha zaidi hata ya bongo, wengi wanaofanya kazi ndogo ndogo hizo angekua mwanafunzi anapiga kdg ili apate pocket money ya siku mbili tatu ningemuelewa, ila mtu anaenda ulaya kwa shughuli hizo huyo simlaumu pia maana bado huku wana sheria za kimo cha chini cha mshahara... Ngoja watu watafte maisha kokote kule bna, pakiwashinda si watarudi tu.. mtu anapiga kazi ka muhudumu hotelini afu analisha familia bongo, usimlaumu, angekua bongo hiyo kazi angeongeza shida tu home
 
Kwa haya maneno yako mkuu kiranga, nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako maana unacopy na kupaste mistari ya jay z na kuweka hapa jamvini.

Ngoja nikuache maana naona sio siri unatoka povu kwa suala dogo tu mkuu na nakuona unataka kuturn into capslock iwe online cold war behind keyboard.

Relax bro!! No disrepect and no fight tonight...its all good here. We are brothers.

Lazima useme na copy na kupaste, huwezi kukubali kwamba mbongo anaweza kuandika hivi.

Umeshutumu naandika Kigiriki, nikakuuliza unioneshe maneno ya Kigiriki. Umeshindwa.

Sasa hivi naona hata nikikuambia unipe mashairi gani ya Jay-Z nime copy paste, nitakuonea tu maana ni kawaida yako kuzusha bila kuwa na ushahidi, let alone uthibitisho.

I take that as a compliment
I rhyme holy like a sacrament
Don't make me flood you with excrements
It's not my nature, but I experiment
My double decker rhymes be perfectly timed like chimes, Big Ben, London
While my neck breaker pantomime perfectly lined like Buguruni pockets dimes, but rundown
Got the best of both worlds, and don't want none of it
Jack your morals and deface you with them, like Anonymous
Commit mass atrocities, and rule like Uhuruto
Cuz I'm so high, lyrically undefined, Pluto
 
I rhyme and deliver, while you shiver and quiver
Up in here, consider me a lawgiver
Judge or legislator
Don't turn me to budge, I go helter skelter
I bring you that diaspora flavor from afar like a pelter
And this flavor gots no misbehavior
Once again keep your advice, cuz I'm heavier

Can I kick it?

Eti can I kick it?

Aiseee!! Usiendelee na huu mjadala bw kiranga maana hakuna cha maana ulichozungumza zaidi ya kutaka kuonesha ujuaji na ulimbukeni wa kiingereza kwa kucopy na kupaste mistari ya kiingereza na kupachika hapa jamvini. Ilikuwa mbaaaya sana mkuu.

Pathetic!!
 
Mjadala uko wapi?

I'm just giving it to you raw, cats
Gracefully bow, rats
Or imma chow your ass and blast you with a crass mass
To smithereens, you feens
Stomp you chumps
Hit you with that infrared beam, you greens
Make you beg for mercy like I'm your sayyedeen
While I blast you like crazy Mujahedeen
 
Back
Top Bottom