Kwanza mpk hizo kazi zikaitea shame jobs ni kwa sababu ni group fulani la watu ndio wanaonekana kuzifanya zaidi mfano wasio na visa
Una takwimu zozote zinazounga mkono hayo madai yako?
na pia ufanyikaji wake ni kutumia misuli na mazingira harshy kama kuosha wazee mara wamejisaidia kwenye pampers, kukaa na vichaa au walemavu all the time na nyingine nyingi ofcoz ni kazi ambazo hata humu ndani wako wanaofanya lakini kamwe hawezi sema kwa vile ni 'shame job'.
Yaani wewe jamaa bana. Nimekuhoji mara nyingi sasa kuwa kilicho shameful kuhusu hizo kazi ni nini? Kuna shame gani kufanya kazi inayotoa huduma kwa binadamu mwenzio? Kutunza watu wenye ulemavu wa akili au wazee wasioweza kujifanyia mambo yao kuna aibu gani?
Wewe yaelekea ni limbukeni wa kutupwa kabisa na umelishwa huo ujinga na umeumeza hook, line and sinker bila hata kushirikisha ubongo wako (kana hata unao huo uwezo).
Na unasema kwa uhakika kuwa hata humu ndani wapo wanaozifanya hizo kazi. Kina nani hao? Au unajizungumzia wewe mwenyewe?
Ni dhana potofu sana kuona kazi kama hizo eti ni "shame jobs". Ni ujinga na upumbavu kabisa. Hivi ungekuwa na mtoto mwenye cerebral palsy, kwa mfano, halafu usiwe na muda wa kutosha wa kumwangalia na kumhudumia na ukaajiri mtu wa kukusaidia kufanya hivyo, huyo mtu ungemdharau na kumwona anafanya "shame job"?
Kwa akili yako pengine hata ungeona aibu kuwa una mtoto mwenye disability na nisingeshangaa kama hata ungemkana kutokana na jinsi akili yako ilivyo. Sijui ungemwita 'shame child'.....SMFH!
Hilo ni wazi hata nikipingwa, kufagia barabara kudeki korido kuosha vyoo ni baadhi ya kazi ambazo mtu huyu huyu anaefanya ulaya hawezi fanya Tz na hataki watu wajue, kwa nini??
Hiyo ni kwa sababu ya ujinga, upumbavu, na ulimbukeni tu. Nini kilicho cha aibu au ni nini kilicho kibaya katika kufanya hizo kazi? Au mtu akizifanya ataota mkia na mapembe?
Wengi walio ulaya na amerika ndio kazi zao hizo ama anaweza kuwa kapanda cheo kidogo kuwa nesi, mlinzi ama dreva tax at least hizo zina hadhi. Kwa nini kama sio shame job watu hata mkutane huko majuu kujitambulisha kazi yake ni nongwa?
Again, ni kwa sababu ya ujinga, upumbavu, na ulimbukeni kama ulio nao wewe. Mtu anaona akijitambulisha hivyo basi mtamcheka, mtamdharau na kumwona duni, na upuuzi mwingineo kama huo. Sasa kama hali ndo itakuwa hivyo kwa nini aseme shughuli anazozifanya?
Yaani sielewi kabisa hizi dhana potofu hutoka wapi. Zaidi, nashangaa sana mtu anayedai kutaka kufanya PhD Canada kuwa na fikra za kipumbavu kama hizo.
Heri nibaki bongo na TGS scale yangu ya ualimu 425,000/= kwa mwezi kuliko kwenda ulaya kufanya shame job
Hakuna "shame job". Kama kuna shame basi ipo kichwani mwako tu kwa sababu labda una insecurities kibao zinazokuathiri.
By the way, bado nasubiri ushahidi kuwa Wikipedia siyo reliable source of information. Siku ya tatu leo tokea ahadi itolewe.....