Mchukuu wa Mangi
Member
- Sep 21, 2013
- 27
- 23
Kutokana na kushuka kwa uchumi kwenye nchi za Ulaya na Marekani, gharama za maisha zimepanda sana. Kupata kazi ya ofisini ni ngumu sana.
Hali hii imewafanya wageni wengi kuishi maisha magumu sana. Unakuta msomi mwenye elimu ya masters degree anaishia kufanya kazi za ujira mdogo/vibarua kama kudumia wazee,kufanya usafi,uhudumu wa baa na migahawa n.k.
Napenda kutoa wito kwa vijana watanzania wenye wazo la kwenda Ulaya na Marekani kutafuta maisha waachane nalo kabisa .