Marmeid
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 523
- 1,204
Mara nyingi mtu hujuta baada ya kufanya ngono isiyo sahihi kwa sababu tamaa huisha, lakini matokeo yake hubaki — hisia za aibu, huzuni, kutotimia kwa matarajio, na hisia ya kujidharau. Mwili hushiba kwa muda, lakini roho huumia kwa muda mrefu.
Na mara nyingi hii hali huwakuta watu wenye tabia ya kuonja onja au kulala na wanawake tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti.
Na chakushangaza ni kwamba unaeza kua na mahusiano na mwanamke ambaye anakuzungusha sana kukupa tenda lakini baada ya kukupa tendo ,, unafurahia lakin baada ya kumaliza roho ya kwann nimelala nae inakujia, ndyo mda ambao unaanza kusema kwanini nimelala nae ,, na huo ndio unakuaga mwanzo wa mahusiano mengi kuvunjika kwa sababu ya thought ambazo mtu anazipata baada ya kufanya ngono aliyo ipania kwa mda mrefu