Bravoufahamu wa kuchambua mambo wa JF member taratibu unakwenda ukipotea tatizo ni Mange kumfanya ndio mtafiti na mchambuzi. member sasa wamekuwa Wadaku sio tena watu wakuchambua maswala mbalimbali akili imeshakuwa mgando akili zimeshalemazwa na dada moja wa USA imefikia stage tukio linatokea kinondoni member wa JF anasubiri mtu wa USA ndio atakuwa na FACT zaid yake yeye member anayeishi magomeni...
Akili za panya unazijua mkuuSasa unataka awe na uso wa furaha kwenye msiba??
Mbavu zangu eeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji779] [emoji779] [emoji779]Alitumwa kwenda kutibiwa,...haijapata kutokea chini ya jua ajabu hili, na aliporudi hakuna kiongozi wa ccm aliekwenda kumpa pole hata Jokate jamani?! uongo mbaya sana.
mkuu pole, huyu jamaa alizuia safari zote za nje hata wife wake alimtibu muhimbili tena baada ya kuanguka gafla tu ndai, ila Kinana aliekuwa buheri wa afya na kutaka kuongea na wana habari akaonekana mgonjwa wa kutwa India?! TZ ya maajabu.Mbavu zangu eeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
hahaha huyu mtunga uongo alijilostisha eti nimemtumaKulikuwa na sintofahamu kubwa ya alipo Katibu mkuu wa ccm Komredi Kinana... Yamesemwa mengi yamezushwa mengi mengine ya kweli na mengine ya uongo
Tukio la msiba mkubwa wa Arusha limemleta upenuni Komredi Kinana, akionekana mwenye afya na siha iliyotakata....Ni matumaini yetu sasa atarudi ofisini baada ya likizo aliyopewa na chama kwasababu za kiafya (kwa mujibu wa bwana Polepole katibu mwenezi)
DAIMA UONGO HUPANDA LIFT LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...
mkuu pole, huyu jamaa alizuia safari zote za nje hata wife wake alimtibu muhimbili tena baada ya kuanguka gafla tu ndai, ila Kinana aliekuwa buheri wa afya na kutaka kuongea na wana habari akaonekana mgonjwa wa kutwa India?! TZ ya maajabu.
Tumepata ajabu lingine la duniahahaha huyu mtunga uongo alijilostisha eti nimemtuma
hihihi wahedTumepata ajabu lingine la dunia
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwahiyo unataka kusema kinana anafanya kazi kwa style ya mashinji?Swali hujibiwa kwa jibu...