Hali ya Komredi Kinana

Polepole kaumbuka sana, siku moja tu baada ya kusema Kinana kapewa likizo ya ugonjwa mgonjwa kaibuka, dah pole sana Polepole.
ukiwa likizo huruhusiwi kwenda kwenye msiba...??
Polepole alisema Kinana yuko likizo baada ya ugonjwa....Tatizo mmeshikiwa akili na mwebyekiti wenu aliyepiga zero.
 
ukiwa likizo huruhusiwi kwenda kwenye msiba...??
Polepole alisema Kinana yuko likizo baada ya ugonjwa....Tatizo mmeshikiwa akili na mwebyekiti wenu aliyepiga zero.

Katibu wenu Mashinji yuko wapi?
Nimeamini yale maneno yako kwamba Komredi atakuwepo msibani BTW
Hili la mashinji huku linahusikaje ?
 

Jifunze kutofautisha kati ya maumivu ya ndani ( ya kimoyo na kihisia ) na mwonekano wa nje wa Mtu ili kuwahadaa Watu.
 


Mbona iko vipande tayari? Kama mwenyekiti wa umoja wa wanawake katimuliwa uanachama tu hali itakuwaje sawa?
 
how crazy are you??
 
ufahamu wa kuchambua mambo wa JF member taratibu unakwenda ukipotea tatizo ni Mange kumfanya ndio mtafiti na mchambuzi. member sasa wamekuwa Wadaku sio tena watu wakuchambua maswala mbalimbali akili imeshakuwa mgando akili zimeshalemazwa na dada moja wa USA imefikia stage tukio linatokea kinondoni member wa JF anasubiri mtu wa USA ndio atakuwa na FACT zaid yake yeye member anayeishi magomeni...
 
Sana tu ccm lazima ibongoronyoke ili watanzania tuwe huru
 
wewe binafsi umemuona ni mzima kiafya lkn Daktari wake ndiye anajua afya yake kitaalamu na kumpa ushauri.
watanzania jifunzeni kuheshimu mambo ya faragha ya mtu binafsi!

wacheni speculation!!!
 

Kijana wa Lumumba usipanic sana hayo yalikuwa maoni yake bana ambayo waweza kuyachukua au kuyaacha..umekunywamaji ya chama hadi avatar yako umeweka rangi ya chama.. But i hope atarudi ofisini coz anaonekana ana afya njema kabisa tangu atoke India.
 

Umejuaje ndugu..? kila mwanadamu ana jinsi au namna ya kuchukulia mambo. Inaonekana hata wewe hujafanya utafiti wa kuangaliani asilimia ngapi ya watu wanaomfuata Mange ukiwemo na wewe!!
 
wewe binafsi umemuona ni mzima kiafya lkn Daktari wake ndiye anajua afya yake kitaalamu na kumpa ushauri.
watanzania jifunzeni kuheshimu mambo ya faragha ya mtu binafsi!

wacheni speculation!!!
Totally wrong and Misleaded
 
Sasa povu la nini Bashite? Truth is...Kinana hapendi upuuzi wenu na alikwishajiuzulu!
 
Demokrasia hufanya mambo kujiziba haibu zake hata km italeta tatizo kwa walio wengi lkn wachache wenye mamlaka wawe salama. DEMOKRASIA N MFUMO ULIOJAA DHULMA NA UBAGUZI HASA UNYONYAJI. welcome KINANA.
 
wasiojielewa bwanaa,[emoji23]
kwani hili jukwaa la nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…