Arusha mlisema hivyo hivyo kuwa wana Arusha wameichoka CDM lakini kilichotokea umekiona, kumbuka Watanzania wa sasa sio wa miaka ya sabini tangu lini Mbunge akapeleka maji jimboni kwake Serikali ina wajibu gani na je nitajie jimbo lolote lenye mbunge wa CCM ambae amepeleka maji jimboni kwake kwa nguvu na fedha zake.
Mkuu acha ushabiki wa kijinga. Kama aliahidi kuleta maji unataka asiambiwe. Acha wehu kunguru wewe....
Mkuu acha ushabiki wa kijinga. Kama aliahidi kuleta maji unataka asiambiwe. Acha wehu kunguru wewe....
Mbona kama wewe ndio kunguru maana haiwezekani mbunge kuleta maji kwa kutumia fedha zake za mfukoni tumia akili kidogo maana naona unatuchafua sisi wapigakura wa CCM tuonekane hatujui kufikiria! Jukumu la serikali ni kupeleka vitu muhimu kwa wananchi wake hata kama jimbo liko upinzani!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Unaweza ukawa umejivesha akili za Kondoo au Nguruwe kwa kutokujua wajibu wa Mbunge na wajibu wa Serikali na kwa jinsi ulivyo sidhani kama utaondokana na umbumbumbu ulionao na kama ni mzazi wa famili utaiharibu familia yako kwani mzazi ni kiungo muhimu sana kwa maendeleo ya Familia.Mkuu acha ushabiki wa kijinga. Kama aliahidi kuleta maji unataka asiambiwe. Acha wehu kunguru wewe....
Magamba yanapandikiza dhana kwamba mbunge ndio analetea watu maendeleo ili wachaguliwe kwa kuhonga wananchi hela walizopata kifisadi.Arusha mlisema hivyo hivyo kuwa wana Arusha wameichoka CDM lakini kilichotokea umekiona, kumbuka Watanzania wa sasa sio wa miaka ya sabini tangu lini Mbunge akapeleka maji jimboni kwake Serikali ina wajibu gani na je nitajie jimbo lolote lenye mbunge wa CCM ambae amepeleka maji jimboni kwake kwa nguvu na fedha zake.
Samahani mleta mada huyu David Silinde ni Mbunge wa wapi?
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .
wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.
Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni
Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.