Hali ya hospitali katika jimbo la Nyalandu ikoje?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,669
40,917
Wakuu;

Kwa siku za hivi karibuni Mh. Nyalandu amekuwa mstari wa mbele sana katika huduma za kitabibu kwa watu mbalimbali.

Sote ni mashuhuda namna alivyokua msaada mkubwa sana kwa wale watoto wahanga wa ajali ya bus la st. Vincent, mpaka hivi karibuni kutaka kutoa huduma kama hiyo hiyo kwa Lissu.

Baada ya kuona jitihada zake katika eneo hilo la huduma nilikuwa na hisia kwamba ni mtu anayejali sana huduma ya afya, nikavutiwa kujua hali ya hospitali katika jimbo analoliwakilisha nikimamanisha upatikanaji wa madawa na vifaa.

Nikashawishika kujua ni wananchi wangapi toka jimboni kwake wamefaidika na huduma kama aliyoitoa kwa wale watoto waliokumbwa na yale maswahiba.

Mwenye uelewa awe msaada, ni hayo tu wadau.
 
Ulizia Chato kwanza kabla ya kwa Nyalandu. Kuna mtu kawa mbunge miaka zaidi ya 20 ila hamna hospital ya maana huko kwao. Bado wakina mama wanakufa kwa kujifungua na malaria imetamalaki...kichocho, minyoo, na magonjwa ya masikini bado yanaua raia wema. Ila jamaa kwa sasa ni raisi
 
Unachopaswa kujua ni kuwa Nyalandu ni mpiga dili. Anawahadaa wazungu ili apige pesa. Kuna mada ipo humu nitakuiweka nikiipata. Hata wale wazungu waliowaokoa watoto wa Lucky Vincent eneo la ajali walikuwa wametoka jimboni kwa Nyalandu bila mafanikio ya kuona uwekezaji wao baada ya bwana huyu kuwakwepa. Maisha yake 99.9% yapo Arusha, jimbo atarudi kuomba kura na kuendesha baiskeli ya Phoenex.
 
Tena umeongea jambo la maana sana! Una namba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu tumuulize hilo suala jimboni kwa Nyalandu?!
 
Ulizia Chato kwanza kabla ya kwa Nyalandu. Kuna mtu kawa mbunge miaka zaidi ya 20 ila hamna hospital ya maana huko kwao. Bado wakina mama wanakufa kwa kujifungua na malaria imetamalaki...kichocho, minyoo, na magonjwa ya masikini bado yanaua raia wema. Ila jamaa kwa sasa ni raisi
jielekeze kwenye mada mkuu, chato tutakadili wakati mwingine. nataka kujua tu ni wapiga kura wake wangapi wamepelekwa marekani kwa matibabu.
 
Unachopaswa kujua ni kuwa Nyalandu ni mpiga dili. Anawahadaa wazungu ili apige pesa. Kuna mada ipo humu nitakuiweka nikiipata. Hata wale wazungu waliowaokoa watoto wa Lucky Vincent eneo la ajali walikuwa wametoka jimboni kwa Nyalandu bila mafanikio ya kuona uwekezaji wao baada ya bwana huyu kuwakwepa. Maisha yake 99.9% yapo Arusha, jimbo atarudi kuomba kura na kuendesha baiskeli ya Phoenex.
Ana kasri lake kule arusha hatari
 
Kwa hiyo lengo lenu CCM watu wasimsaidie Lissu kisa majimbo yao huduma za afya ni mbovu? nimeanza kuamini kuwa kwenye hili tukio mnahusika.
 
Wakuu;

Kwa siku za hivi karibuni Mh. Nyalandu amekuwa mstari wa mbele sana katika huduma za kitabibu kwa watu mbalimbali.

Sote ni mashuhuda namna alivyokua msaada mkubwa sana kwa wale watoto wahanga wa ajali ya bus la st. Vincent, mpaka hivi karibuni kutaka kutoa huduma kama hiyo hiyo kwa Lissu.

Baada ya kuona jitihada zake katika eneo hilo la huduma nilikuwa na hisia kwamba ni mtu anayejali sana huduma ya afya, nikavutiwa kujua hali ya hospitali katika jimbo analoliwakilisha nikimamanisha upatikanaji wa madawa na vifaa.

Nikashawishika kujua ni wananchi wangapi toka jimboni kwake wamefaidika na huduma kama aliyoitoa kwa wale watoto waliokumbwa na yale maswahiba.

Mwenye uelewa awe msaada, ni hayo tu wadau.
Mtu akifanya nzuri sharti apongezwe bila kujali kamfanyia nani. Sisi sote watanzania hata hao wanafunzi wa Arusha waliosaidiwa ni watanzania. Nyarandu yuko kitanzania zaidi. Mtu anayebagua watanzania kama wewe mleta maada unaonesha una upungufu mkubwa sana wa akili.
 
Kwa hiyo lengo lenu CCM watu wasimsaidie Lissu kisa majimbo yao huduma za afya ni mbovu? nimeanza kuamini kuwa kwenye hili tukio mnahusika.
swali langu ni rahisi tu ; kama unamajibu tupatie kwa manufaa ya jukwaa.
 
Tujulishe kwanza hali za hospitali ndani ya nchi ikoje mpaka Nyalundu awe na wazo la kuwapeleka wahanga nje ya nchi badala ya kuwa na wazo la kuwapeleka wahanga katika hosptali yoyote iliyoko ndani ya nchi.
 
hali ya hospital Tanzania nzima ni mbaya sana, nadhani mkusanya kodi ndiye alaumiwe. hata magufuli nae alishawahi kupondea maendeleo ya jimbo la lissu akasahau kwamba yeye anahusika zaidi kuliko lissu. akili za kuazima kwa jirani, akiondoka unabaki na mbovu.
 
Back
Top Bottom