Nitafutie kapisi .....baridi inaniua hukuHatari sana...sina cha kuongezea...
Nawapa pole sanaaaa
Ila namiss misosi aisee hasa matunda...
Halafu wakazi wa Mbeya sio walaji na sio wapenda kupika....
Ukafundishe kubet au sio?
Tunamshukuru Mama kwa kufanya Mbeya yetu iwe makao makuu ya BaridiIripoti polisi wachukue hatua
Njombe kwa baridi itengwe tu 🙌🙌Mkuu njombe kuna bardi wewe...
Lile bardi sijui sehemu gani unaweza likuta hapa afrika
Kawe kananipa comfort ya hii baridiUkafundishe kubet au sio?
Ni balaa sanaKero sana mkuu, Tena mwezi Julai ndiyo kilele Cha baridi sasa.
Yani mpk sasa huna??
Halafu ulikuwa unajitahidi Sana kuoga tukiwa dormitory mkuu.Mi nimekaa njombe miaka kama miwili hvi..
Ile bard hapana aiseee
Itakuwa kabadilika kama anamaanisha, huyu Dogo alikuwa anaoga Sana akiwa NJOSS, njombe.Kwa dar wewe by nature ni mchafu 😹🤣
Nilikulia mtaa wa Jacaranda uhindini 60's karibu na TBC, nilisoma N. A. Middle School sasa Meta baada ya CCM kupora kisha nikaenda Mbeya School(Iyunga), enzi hizo mji wa Mbeya ulikuwa unanukia maua ya mikaratusi na mikambokambo, hakuna vumbi kutokana na wingi wa miti, pia mji ulikuwa msafi sana.Mna tusingizia sana watu wa mbeya
Njombe achana nayo sipati picha watu waliopo huko mda huuNjombe kwa baridi itengwe tu 🙌🙌
Ahahaha hivi yule dogo bado yupo njombe kule niniHalafu ulikuwa unajitahidi Sana kuoga tukiwa dormitory mkuu.
Sisi tulikuwa wasafi wa bweni na Yule Dogo PCB mwenzio Pale chamber kwangu
Yeah! Madarasa ya chini ilikuwa ni baridi, kiufupi ukiwa form 5 NJOSS ni mateso Sana.Ahahaha hivi yule dogo bado yupo njombe kule nini
Daaah mkuu lile bardi hapana alafu sasa unakuta mi naoga mda wowote ule aiseeee yale.maisha sitosahau kabisaaa .
Kuna kipindi form five tupo madarasa ya chini aisee.kule chini tulikua tunapigwa bard adi unakumbuka hom
Dogo kipindi cha NEcta alikua anaimba wimbo huuYeah! Madarasa ya chini ilikuwa ni baridi, kiufupi ukiwa form 5 NJOSS ni mateso Sana.
Kuhusu Yule Dogo sina taarifa naye, pengine bado yupo Njombe maana ndiyo maskani kule.
Na kalikuwa na visirani kale kidogo...hahahahah.Dogo kipindi cha NEcta alikua anaimba wimbo huu
"" Patakucha patachimbika...""
Yaani jamaa kipindi hiko usiku tunakesha weeeh kesho paper yeye anawahi kulala huku akitegemea badae tumwamshe...
Sasa siku hyo tukamwamsha saa kumi na moja na nusu daah jamaa alilalamika kinoma akawa anaimba hvo...
Yaani PAKIKUCHA LAZIMA PACHIMBIKE