Hali ya hewa kuwa mbaya

Hali ya hewa kuwa mbaya

Nimesikia hali ya hewa kuwambaya je?kunahaja ya vyombo vya hali ya hewa kumwona mzee wa upako awezekuliepusha janga ili kama alivyostopisha mvua mwaka jana.

Anjela namhurumia kuwa na baba mjinga kama wewe! Wala hana uwezo huo labda kama anamtumikia shetani!
 
Nimetoka kuongea na Mzee wa Upako kwa wote wanaobısha kuwa hawezı jıandaenı na haya
1.Mvua ya mawe katıka nyumba zenu tu.
2.Chemchem katıka kıla chamba.
3.Upepo mkali wenye chembechembe za tindikali tu.
4.kokosa umeme mıaka 10.

sasa mtakoma bye bye and there is no excuse or sorry i didn't know.
 
hongereni mamlaka ya halli ya hewa kwa kutoa utabiri wa uhakika kwa wakati. mamia ya maisha ya watu yameokolewa kwa hii tahadhari. mali pia zimeokolewa. tunaomba muendelee na moyo huu wa kutenda kazi. watawaelewa tu
 
Back
Top Bottom