Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa baharini katika maeneo yote ya Pwani kuanzia kesho na kesho kutwa.
Tsunami 2013 take care
Mwaka juzi walitoa waraka wa tahadhari hadi kwa mabalozi na wawakilishi mbali mbali waliopo hapa nchini. Ilizua taharuki kubwa na wala hakikutokea chochote.