.. Wapo watu wa haiba tofauti humu. Unalosema mtoa mada ni sahihi, vijembe vya wazi vinakera, au kutoa mada zinazolenga watu au kundi fulani zinakera na wala hazijengi.
.. Ila katika halaiki kama hii, ni vigumu sana ku control watu waseme nini, wakati mwingine katika hizo nasty threads kunakuwa na mambo watu pia wanajifunza, japo kudhalilisha wadada ni kuwadhalilisha mama zetu pia!
Hasa hichi kinajiita lara 1 kinajifanya kijuaaaji kumbe mavi kunuka tu!
kumbe ulikuwa hujaona??makubwa kumbe nimeambiwa mimi gogo lahaula .......wew mgiriki ulishanilala ukajua mimi ni gogo!!!!
Ni ujinga sana mmu imekuwa full majungu...,mipasho.......zahara white kawatoa imani sana.........
Kuna mda unatamani hata uende jukwaa la siasa labda utajua nchini kwako nini kinaendelea........
Umesema nilichokiandika sasa hivi. It is as if somebody has had an affair with some one on the bed and now he is making a publicity of his experience in bed with that some one1
kumbe ulikuwa hujaona??
Kumbe na wewe unapenda kuwapa watu airtime wasiyo istahili?
Mzima lakini?
Babu DC!!
MADA ZA Lara ndio zinafanya MMU alive.love u lara
Uwiii basi shost poa alijirudi lakini mi sikumlazia damu!!Ko ilikuwa kama siredi au alitumention humo ndani!!!!!!!!!!!!!
Nna hasira na huyo MGIRIKI......kukurupuka na kuongea mambo asoyajua!!!!!!!!!
Which is a bull shit!!!!!!!!!kujitoa ufahamu usio na maana........
If you cant argue WISELY.........Give a space to some other members!!!!!!!
ko ilikuwa kama siredi au alitumention humo ndani!!!!!!!!!!!!!
Nna hasira na huyo mgiriki......kukurupuka na kuongea mambo asoyajua!!!!!!!!!