kweli tupu inayoongelewa wapi kwenye makwapa ya wanwake ni meusi?? ama sijui wanwake waongeaji ni magogo kitandani?? godforbid.
kutetea wadada ni lazima manake adhalilishwapo mdada na mie pia nadhalilika na ndio mana hujawah nikuta namdhalilisha mkaka manake najua namdhalilisha kuanzia baba yangu mzazi hadi wanangu wakuwazaa
Tatizo ni kwamba wengine tunashindwa kukubaliana na ukweli kwamba kwenye hili jamvi kuna watu wengi kama majani...
Waacheni wachafuke bwana, ....wasipochafuka watajifunzaje??
Poleni waliokwazika, ila ndiyo dunia ilivyo!
Babu DC!!
tatizo ni kwamba wengine tunashindwa kukubaliana na ukweli kwamba kwenye hili jamvi kuna watu wengi kama majani...
Waacheni wachafuke bwana, ....wasipochafuka watajifunzaje??
Poleni waliokwazika, ila ndiyo dunia ilivyo!
Babu dc!!
hapa sasa umeongea! Coz hujaegemea popote!
...
Hii ni hatua moja mbele!
Jee wewe unahisi nini kifanyike ili kutatua hili?
Coz wenyewe mnavyotusimanga hadi noma, mara vibamia (si tumeumbwa navyo!) mara wabahili, mara hatujui kugegeda (mnawapaisha wazee!) etc!
nakubali wachfuke lkn wasichafue wengine babuuu.............
Wee kila siku utaona mara nipen sifa za wanawake wa kiamchame, mara ooh mabinti wa kichaga hawajui mapenzi, mara ooh makwapa ya wanawake ni meusi, mara ooh wanawake ni magogo kitandani utafikiri yy ni mti basi useme upepo ukija utapeperusha matawi.
Hii tabia ni mbaya na haivumiliki iachwe mara moja
nakubali wachfuke lkn wasichafue wengine babuuu.............
Wee kila siku utaona mara nipen sifa za wanawake wa kiamchame, mara ooh mabinti wa kichaga hawajui mapenzi, mara ooh makwapa ya wanawake ni meusi, mara ooh wanawake ni magogo kitandani utafikiri yy ni mti basi useme upepo ukija utapeperusha matawi.
Hii tabia ni mbaya na haivumiliki iachwe mara moja
Makubwa kumbe nimeambiwa mimi GOGO lahaula .......wew mgiriki ulishanilala ukajua mimi ni GOGO!!!!
ni ujinga sana MMU imekuwa full Majungu...,Mipasho.......Zahara white kawatoa Imani sana.........
Kuna mda unatamani hata uende Jukwaa la SIASA labda utajua nchini kwako nini kinaendelea........
kwani haya mambo yameanza leo teacher?
Kuna thread za nyuma sana zinaongea vitu vya namna hivyo na nyingine zilipata airtime ya kutosha....
Ila mkiwapa time zaidi ndiyo mnawavimbisha vichwa...
Babu dc!!
umeongea ukweli kabisa baadhi ya memba nao wanabeba matatizo yao na kuyaleta hapa hii sio sahihi kabisa kabisa. Hawa watambiwa kila watakapokuwa wanafanya hivyo.na waambie wana ndoa waache kutuletea matatizo yao huku pia...sie hatuko kwenye ndoa kukwepa ghasia sasa wakizileta huku tena tunakua pissed off....kuna yule puuzi akaja anaomba ushauri eti mke wake anajamba sana usiku....nadhani uliisoma ile thread...
So kama mtu ulipotaka kuoa hukuomba ushauri huku ....ukiwa na matatizo yako ya ndoa solve mwenyewe. Kila mtu abebe msalaba wake apeleke kalvari ahahahaha
nyie wadada ndio mlioanza kumwaga ugali...wakaka wakamwaga mboga.
wala sio hivyo mwanamkwetu hapa ujue ukweli ni kwamba watu wanajaribu kumjibu lara 1 kwa mada zake lkn wanakosea yy huwa anaandika mada tena pasipo kulenga mtu lkn watu wana perceive vby na kuona wanasemwa sasa wanajibu mapigoumesema nilichokiandika sasa hivi. It is as if somebody has had an affair with some one on the bed and now he is making a publicity of his experience in bed with that some one1