Niko maeneo ya tabata kimanga barabara haipitiki maji yanapita juu ya daraja hapa ni mwendo wa mtumbwi tu
Jeshini nako kuna daraja pale mpakani ( maji chumvi) ila sijajua kama nako ndio yale yaleniko jiandae hapa kumbe huko mbele hakupitiki ngoja nipitie jeshini.......
Jeshini nako kuna daraja pale mpakani ( maji chumvi) ila sijajua kama nako ndio yale yale
Ndo shida ya kuvamia mashamba ya mpunga,
Tuwekee picha, make tunaona kawaidaNiko maeneo ya tabata kimanga barabara haipitiki maji yanapita juu ya daraja hapa ni mwendo wa mtumbwi tu
Aisee na hapo kimanga stendi ni tope huwa panakuwa kama uji vileNiko maeneo ya tabata kimanga barabara haipitiki maji yanapita juu ya daraja hapa ni mwendo wa mtumbwi tu