Hali ya hewa Dar es Salaam tata

arch88

JF-Expert Member
Sep 20, 2017
514
618
Niko maeneo ya tabata kimanga barabara haipitiki maji yanapita juu ya daraja hapa ni mwendo wa mtumbwi tu
 
Sisi Ngoja tuitumie fursa Hii kupanda Mazao badala ya watoto
IMG-20180503-WA0003.jpg
 
Acheni kulaumu sana Mvua!! Kwani sisi wazee wa vinchechede na visokoropwinyo mvua hii inaleta hali ya hewa murua kabisa!!! Hapa nimefunga msuli tu nakula mzigo huku kikombe cha ghahawa kwa pembeni!!! Mtoto lazima aombe poo leo!!!!!
Mvua hii raaahaaa sana!!!!
 
Back
Top Bottom