HALI ya DR Slaa IKOJE?

Hivi nyie waislamu chuki yenu kwa ukristo inawasaidia nini hasa zaidi ya kuonekana wavivu wa kufikiri.

Mkuu unakosea kutujumuisha waislamu wote,hao ni waislamu wachahche wenye maslahi yao binafsi,kwa kuwa koroni tukufu haituambii waislamu kudharau dini nyingine na kuwachukia wasyokuwa waislamu,naomba ieleweke hivyo!!
 
Atafanya kazi gani wakati hana kazi!kazi yake kuu ni kupiga majungu!!


i wish mgejua kuwa yuko gado msinge nena kitu.moto wake niuleule kama kawaida hakurupuki.

Mbona wanamtafuta sana?mtaipata,kwake kupiga kelele ndiyo fani as a politiciani but always kelele zake zinakishindo.
 
Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu.

Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani

Katiba mpya mnyika kanyukwa

Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka??

Nadhani utakua unatumavi kidogo
 
natoa angalizo kwa umma mzima wa jf, tafadhali msijibu wala kujadili hoja za huyu jeykeywaukweli. Zimekaa kichokozi na zipo kuleta uvunjifu wa amani.... When you argue with a fool, people will fail to differentiate between the two of you. Bora tukua kimya tumuache aendelee kubwata unafiki na uzandiki wake.
 
natoa angalizo kwa umma mzima wa jf, tafadhali msijibu wala kujadili hoja za huyu jeykeywaukweli. Zimekaa kichokozi na zipo kuleta uvunjifu wa amani.... When you argue with a fool, people will fail to differentiate between the two of you. Bora tukua kimya tumuache aendelee kubwata unafiki na uzandiki wake.

Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Huyo ni kafiri wa mawazo,kabla ya DR.kuibua EPA alikuwa anaijua?Katiba ni ya wote si ya ccm wala CHADEMA Tanzania kwanza
 
unaonekana una- mhusudu sana DR. WA UKWELI - ndio maana unapenda kumwongelea - usijali - HE IS WELL AND SOUND - tulio nyuma yake tunafunga na kuomba/ tunakesha makassani kwa ajili yake - mapepo ya CCM yanayotengenezwa na shekh yahya yasimpate - yashindwe na yalegee..............
 
nafurahi kuona kuwa unajali hali ya Dr. wa ukweli. Msubiri akirudi uone pata shika yake.
 
Yupo fit na anajipanga kuweka mambo ya nchi hii sawa maana viongozi waliopo hawajui nchi inakwenda wapi kwani kila siku vitu bei juu. Watu wanaona nisawa tu
 
'
unamana Slaa?, sasa hiv hana kazi anatembeza bakuri kama hana akili nzuri

Nenda shule kwanza, jifunza upate elimu na elimu ikukomboe kutoka majungu and eventually you will be able to do something constructive for yourself and for the community. Hivi ulivyo, utabaki ukipigia debe JK na na uislamu...ndugu yangu wenzako wanakwenda mbele wewe unabaki kupiga debe bila hata kuwa na uwezo wa kupima what is going on in our country; macho yako yanafunikwa tu na JK just because he is a moslem or what!!!! Wake up...JK will go...Slaa...will go...but what remains is the legacy they leave behind...what remains is what legacy you leave behind....ambayo kwa mwendo huu, huna la kuwapa Watanzania sasa na hata baadaye except spirit of hate and violence....sijui utaamka lini
 
kwani wewe hujui?
we ni mtanzania? una uchungu wa dhati na nchi hii?

kama hivyo vyote hapo juu umejibu ndiyo basi we ni mnafiki au umetumwa na watu fulani kuja kuandika upuuzi humu

kwa maslahi ya taifa la kesho hata kama mmetumwa kuandika upuuzi humu mkumbuke watoto wenu na maisha yao ya baadae sio kuangalia ulaji wenu tu...
 
Nyote mnaobishana na huyu bwana nafkiri hamnazo maana kwanza kwenye jukwaa la siasa alishakimbiaga siku hizi yumo humu kwenye mautani.kwa hiyo sio ajabu anatania tu.halafu huyu ni malaria sugu ina maana hamjamstukia?sasa ivi bangi havuti tena ni teja la unga from manzese.
 
Back
Top Bottom