TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,185 Reaction score 18,201 Feb 8, 2011 #41 kumbe aliyezimwa ni slaa?? sikujua maana nilijua walionyimwa haki ni wananchi wa arusha
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Feb 8, 2011 #42 Kumbe Dr. Slaa anawatisha namna hiyo!!
Kashaijabutege JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 2,696 Reaction score 740 Feb 8, 2011 #43 JEYKEYWAUKWELI said: Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu. Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani Katiba mpya mnyika kanyukwa Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka?? Click to expand... Akili zako ni "SHAKE WELL BEFORE USE". Ulirukaruka kuchanganya akili kabla ya kuandika hii thread?
JEYKEYWAUKWELI said: Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu. Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani Katiba mpya mnyika kanyukwa Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka?? Click to expand... Akili zako ni "SHAKE WELL BEFORE USE". Ulirukaruka kuchanganya akili kabla ya kuandika hii thread?
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,970 Feb 9, 2011 #45 Pole samak pole
Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,673 Feb 9, 2011 #46 Du! Kama Slaa ana nguvu kiasi cha kutisha hivyo, itakuwaje wananchi kwa ujumla wakiamka. 'its possible, play your part'
Du! Kama Slaa ana nguvu kiasi cha kutisha hivyo, itakuwaje wananchi kwa ujumla wakiamka. 'its possible, play your part'