HALI ya DR Slaa IKOJE?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu.

Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani

Katiba mpya mnyika kanyukwa

Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka??
 
Yuko makini sana,haja chakachua U-doctor wake so tegemea mabomu mengi zaidi ya hoja toka kwa vijana alio wafua
 
Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu.

Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani

Katiba mpya mnyika kanyukwa

Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka??

Acha majungu, fanya kazi.
 
Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu.

Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani

Katiba mpya mnyika kanyukwa

Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka??

Vipi hali ya JK kutokana na kashfa zinazoikabili serikali yake!!
 
check kwa facebook, yupo live and active.

suala la katiba si la slaa ni wa watanzania wote,
 
Hivi nyie waislamu chuki yenu kwa ukristo inawasaidia nini hasa zaidi ya kuonekana wavivu wa kufikiri.
 
Hana haja ya kuropoka au kukurupuka kama wewe unavyofanya...

Suala la katiba si la chadema bali ni la taifa

suala la umeya arusha ni la waarusha wote kupanga.. Na tunajipanga ondoa shaka..
 
Jamani mtujuze hali ya Dr Slaa ikoje baada ya kuzimwa kila kitu.

Arusha ndo basi tena Meya katoka chamani

Katiba mpya mnyika kanyukwa

Jaman wenye kujua hali ya mzee huyu pressure inapanda pressure inashuka??

we umelogwa na aliyekuloga kafa
 
Yaliyoibuliwa na slaa mpaka leo yanatikisa nchi!unataka atoe mengine si itakua balaa!
 
Back
Top Bottom