Hali ya barabara Dar ikoje?

Hali ya barabara Dar ikoje?

Hali ya foleni huku mbagala ni balaa Sana Leo,magari yamesimama hayatembei Toka SAA 11 nipo barabarani sijafika hata roundabout ya rangi3. Hebu fikiria unaendesha gari na unapata muda WA kuperuzi mtandaoni hapa ndiyo utajua jinsi gani Hali ya foleni Leo ni Shidaaaa
 
Wakuu mvua imenyesha usiku kucha tupeane Hali halisi barabarani na ili tuchukue hatua. Jangwani kuna hali gani?
Weather ikiwa hivi basi jiji hili pendwa ni foleni, mafuriko, na mashimo.

Ila ndio wenye magari wanapojikamatia pisi kali kiulaini sana.

Screenshot_20211213-065857_Weather.jpg
 
Hali ya foleni huku mbagala ni balaa Sana Leo,magari yamesimama hayatembei Toka SAA 11 nipo barabarani sijafika hata roundabout ya rangi3. Hebu fikiria unaendesha gari na unapata muda WA kuperuzi mtandaoni hapa ndiyo utajua jinsi gani Hali ya foleni Leo ni Shidaaaa
Mkuu nashukuru kwa taarifa na pole kwa foleni. Ngoja nilale tu hadi mchana tuone itakuwaje
 
Back
Top Bottom