Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Bongolander
Si rahisi, alikuwa na wanasheria wake!! Unapokuwa na mwanasheria wako mahojiano na polisi hufanyika mbele yake!!
Au hata Gwajima angehojiwa bila Mwanaseria wake (angezuiwa) naamini Mwanasheria wake angeshasema lolote mpaka sasa!!
Mkubwa kuna baadhi ya mambo inabidi ukubaliane na ukweli tu. Kinachosemwa kuwa utawala wa sheria Tanzania kina mipaka, yeye na mwanasheria wake wanaweza kupigwa na hata kuuawa. Nakuhakikishia kuwa hata Gwajima akifa leo kesho itakuwa siku ya kawaida tu kwa Tanzania. Ni kama Simba akila swala...the best can be done ni swala waombee mwenzao asiliwe tena, lakini hawawezi kufanya kitu.