Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

Bongolander

Si rahisi, alikuwa na wanasheria wake!! Unapokuwa na mwanasheria wako mahojiano na polisi hufanyika mbele yake!!

Au hata Gwajima angehojiwa bila Mwanaseria wake (angezuiwa) naamini Mwanasheria wake angeshasema lolote mpaka sasa!!

Mkubwa kuna baadhi ya mambo inabidi ukubaliane na ukweli tu. Kinachosemwa kuwa utawala wa sheria Tanzania kina mipaka, yeye na mwanasheria wake wanaweza kupigwa na hata kuuawa. Nakuhakikishia kuwa hata Gwajima akifa leo kesho itakuwa siku ya kawaida tu kwa Tanzania. Ni kama Simba akila swala...the best can be done ni swala waombee mwenzao asiliwe tena, lakini hawawezi kufanya kitu.
 
Acha life shenzi hilo tapeli kubwa na mzinifu anaepora wake za watu. nakutukana viongozi wakuu wa dini. hiyo ni laana ya mungu imemfika
 
UAskofu wa Gwajima sii KAJITANGAZA tu mwenyewe!
 
Huyu alimlaani mtumishi wa Mungu hivyo laana imemrudia. Huyu alimwombea mtumishi wa Mungu yamfike mabaya. Kikombe kilekile alichompimia askofu Pengo atakinywea mwenyewe. Asipotubu. Atakufa.

Wewe ndio malaika mtoa roho?
 
Acha life shenzi hilo tapeli kubwa na mzinifu anaepora wake za watu. nakutukana viongozi wakuu wa dini. hiyo ni laana ya mungu imemfika
Bora mkuu, Kigwajima hakina adabu kabisa, bora Kipigwe Tu mpaka kife nyambaaaf
 
Nataka kumletea zawadi ya PAMPAS wakuu ili zimsaidie akijisaidia....maana nasikia hali yake ni mbaya..naomba waungwana kama kuna mfuasi wake humu...aje achukue mchango wangu kwa mtume wetu wa nyakati hizi......nawasilisha..........
 
kwenye hili sakata ndio nmeiona nguvu ya kanisa katoliki nchini na kwenye vyombo vya dola
 
Munawaamini au nunawajua madaktari wote wa hiyo hospitali?
Hisia zangu zinahisi anaweza kuja muuaji na nguo zakidaktari akamchoma sindano ya sumu yakufa taratibu taratibu ninyi mukawa munafanya maombi getini kumbe Mtume wenu amededishwa huko ndani.
 
Ni hivi jamn,,,ni sumu ambayo ilikuwa sehemu ambayo alikuwa anahojiwa,,,mlinzi wake alitaka aingie nae kweny hicho chumba wakakataa,,,baadae gwajima akavutwa akaingia ndani alivyoingia tu akazimia

hadithi njoo uongo njoo utamu kolea!!
kama ulikuwepo vile!!!
 
kwa nn watu mnakimbilia kusema kuwa polisi walitaka kumuua,wakamuwekea sumu?

auliwe kwani yeye ana hatari gani kwa tanzania?

mbona sio tishio hata kidogo,kuna watu ambao ukisema serikali au polisi inataka kuwaua unaweza kujenga hoja lakini sio gwajima.

na pia kama wangetaka kumuua wasinge tumia mbinu mbovu ya sumu kwenye mic.

kagame amekua anawaua watu wote ambao kwanjia moja au nyingine wametishia kuuporomosha utawala wake,sasa gwajima auliwe na polisi ana hatari gani kwa taifa?

waumini wake na wafuasi wake ni sehem gani ya taifa?ni wachache sana,ni kama tone tu.

kwa nn serikali imuue,yy anajulikana kua anaongea vitu kwa pupa, aliongea kuhusu dengue,kitu ambacho ni cha kitaalam yy akakiongelea kwa kijinga.

hii kusema kuwa kawekewa sumu ni kutafuta pa kutokea tu

labda yy kapata mshtuko tu,hakutegemea kua alivyokua anaongea vile kwa kujisifu na kutaka umaarufu na kushanguliwa vinge mgeuka.

mishtuko kama hii inawakuta wengi,sio yeye wa kwanza.na yy ni binadamu tu kama wengine,na pia inasemekana kua hakula chakula kwa mda mrefu.vyote vinawwzekana.

lakini kutaka kuuliwa NO
 

Eti, Alhaji Salum Pinza.

Teh teh teh......
 
Last edited by a moderator:
Any updates kuhusu hali yake? naona wengi mmekalia ushabiki tu...
 

Mbona povu jingi kijana??? Unajiita upo kwenye system , ni system ya kuimba kwaya pale kwa gwajima au?? Umejaza kurasa lakini ni upuuzi mtupu sioni cha muhim ulichoandika hapa zaidi ya porojo tu zinazotokana na msongo wa mawazo!!!

Kukamatwa tu unatoa povu hivyo je ukisikia wamemlawiti si utakufa kabisa ww? Hatari sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…