Hali tete UDSM

Wapumbavu sana hawa watoto,nashindwa hata kushangaa kwanini wanazubaa namna hii..wanajipodoa alafu ikifika ijumaa ndo wanajifanya wanagoma,kwanini msigome sasa ili kama ni siku tatu mnafukuzwa bila muafaka ieleweke,sasa nyie mnakuwa kama vile mlikuwa mmefeli alafu mkapelekwa hapo kwa hisani ya Mkandara
 
Martin luther king jr alisema" Riot is the language of the unheard"..kama hawasikii maneno use that!
 
Sasa hivi nipo hapa administration nimetokea udbs kuna group la watu wamekusanyika chini ya jengo hili la CASS nawaona wanaharakati watatu wakiongea kwa hisia kubwa huku pembeni auxiliarry watano wamesimama kuhakikisha kuna usalama,
 
Kwakweli hawa wenzangu wanatoa hoja za msingi sana hapa.
1.Kufanya kila njia hawa wenzetu walocmamishwa warejeshwe,
2.Kuwatoa wenzetu walioko kwenye vyombo vya sheria.
3.Utumiaji wa FFU ktk kusolve matatizo ya wanainchi.
N.k
Ningeweza kupiga picha na kuziupload but wa2 wapo emotional sana na wapo makini sana kwani wapo yapata mia mbili na ki2.
Jua ndo limezama,lkn bado wajadili.NTAWAJUZENI TUMEFIKIA WAPI.
 
Zinaimbwa nyimbo, na miruzi ya hapa na pale kufikisha ujumbe.Tusubiri itakuwaje usiku wa leo na kesho asubuhi.Nipo karibu xana na tukio lolote litakalotokea, ntajitahdi kuwafahamisheni pia kwa wenzangu wa mabibo lolote litalotokea 2juzeni basii.Jioni njema,
 
Back
Top Bottom