wapenzi wanajamii na wanazuoni hali ni mbaya sanaaa ktk chuo cha sekomu, hii ni kutokana na chuo kutaka kujiendesha kwa kutegemea makosa ya wanachuo ktk kusajiri course kwa gharama ya asilimia 40 ukishindwa adhabu ni kutozwa shs.50000 kwa kila course pili ni kujiondoa chuoni na ikumbukwe kuwa serikali inawalipia baadhi ya wanafunzi ada ambayo inazidi asilimia 40 wanayo dai ili kusajili